tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

    Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo? ==== Kenya secures ship suspected to be carrying radioactive substances Saturday, December 18, 2021 Health Cabinet...
  3. JamiiForums Tanzania Itapendeza na inawezekana rais ajae awe mzanzibar, ni nani atafaa kuwa makamu wa rais kutoka Tanzania bara

    rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa
  4. F

    JamiiForums Tanzania NI WAZI PHD NI BIASHARA TANZANIA

    Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
  5. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Hawa ndio watakuwa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

    === Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita. Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunakataza watu kulima Bangi? Au tunasubiri mabeberu watuelekeze?

    Kilimo Cha Bangi kinatumika nchi Mbalimbali na jinsi siku zinavyokwenda ndivyo Mataifa mengi zaidi yanaruhusu kulima n kuvuta Bangi. Tanzania sisi msimamo wetu ni kuwafunga wavutaji na wauzaji miaka 30, kuchoma moto mashamba nakutumia mabiliaoni kupambana na raia wanaolima wakauze kwenye soko la...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

    "Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila. Nami GENTAMYCINE nina...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaleta Global Tree na uwekezaji wa TZS 230BL Tanzania

    === Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje, Dodoma, Tanzania. Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Hamna Referee

    Marefa wakibongo hawana viwango vinavyohitajika na ndio maana hawachaguliwi kwenye mechi za Afcon. Rwanda, Tchad, Djibouti, Burundi, Mauritius, Comoros, Seychelles, na Lesotho zote zikichanganywa pamoja ni ndogo kuliko Tanzania. Ila kwa jinsi marefa wetu wanavyotoa maamuzi yao inasikitisha sana...
  12. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  13. JamiiForums Tanzania Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

    Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea. Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme. ===== UPDATE ====== Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu. Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
  15. JamiiForums Tanzania Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa wafiwa kuwalisha waombolezaji wengine umerasimishwa Tanzania?

    Habari za leo wanajamvi? bila shaka mapambano yanaendelea kama kawaida! Tuendelee kupambana sana na kusaka michuzi kwa udi na uvumba kana kwamba hatufi, na tuendelee kumuomba na kumwabudu Mungu kana kwamba tunakufa kesho! Kwanza kabisa napenda kutoa masikitiko yangu kama mwananzengo kwa...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye mashirika mbalimbali Tanzania

    JOBS VACANCY Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor –...
  18. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera iligharimu Tanzania Trilion 1.15

  19. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

    Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya? Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…