tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  3. JamiiForums Tanzania Bilionea Patrice Motsepe Apata Nafuu Nyingine Mahakamani Katika Mgogoro wa Dola Milioni 195 wa Mradi wa Graphite Tanzania

    Bilionea wa Afrika Kusini, Patrice Motsepe, amepata nafuu nyingine ya kisheria katika mgogoro wa muda mrefu unaohusu uchimbaji wa graphite nchini Tanzania, ambapo kampuni ya Marekani, Pula Group, inadai fidia ya dola milioni 195. Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kwa sasa madai hayo ya fidia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Zambia aliyeonesha dharau kwa Tanzania afuatiliwe anachafua nchi yetu anatumiwa na wasiopenda Amani ya nchi yetu.

    "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia. Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
  6. JamiiForums Tanzania This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

    Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania. Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatolewa mfano mbaya Uchaguzi wa ZAMBIA

    Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia. "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia...
  8. JamiiForums Tanzania SEKIONE KITOJO:- SAUTI ILIYOACHA ALAMA KATIKA HISTORIA YA UTANGAZAJI TANZANIA

    Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa wasikilizaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na baadaye Deutsche Welle (DW)...
  9. JamiiForums Tanzania SGT Mwajabu Mzee alivyoibeba tuzo ya best lady against violence Tanzania

    SGT MWAJABU BEST LADY AGAINST VIOLENCE TANZANIA AKABIDHI TUZO KWA RPC KILIMANJARO Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Simon Maigwa amepokea tuzo mbili alizotunukiwa SGT Mwajabu Mzee wa Kitengo cha Dawati Jinsia na Watoto Mkoa wa Kilimanjaro...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshindwa mitihani mitatu ya kimataifa ndani ya Agosti 2026

    Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza. Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo nchi imepata, bali mwelekeo unaoonekana katika maeneo yanayogusa moja kwa moja utawala, usalama wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa watu wenye akili Tanzania ndicho chanzo cha migogoro mingi kukosa utatuzi,tizama mgogoro wa Simba

    Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule. Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa. Sijasikia mtu hata...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa mtihani wa uwazi wa fedha

    Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ? Mwisho tunamsubiri mzee wa makanusho aka Msigwa ila Msigwa
  15. JamiiForums Tanzania Video:- Mama mlokole akamatwa akiwanga Babati

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani. Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  18. O

    JamiiForums Kenya Cardinal Otunga Mosocho yaingia Uwanjani Tanzania kupeperusha Bendera ya Kenya

    Michezo ya 23 ya Federation of East African Secondary Schools Sports Association (FEASSA) iliaanza Jumatano, Agosti 12, 2026, mjini Morogoro, Tanzania, huku Cardinal Otunga Mosocho High School ikiwania kuiwakilisha Kenya katika Rugby 7s. Mashindano hayo yanaendelea hadi Agosti 23, 2026...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu bado wana muabudu Mungu Nyerere Tanzania ?

    Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ? Inawezekana hii ?
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

    Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki. Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania. Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…