tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya kushirikiana kutokomeza usafirishaji haramu wa Binadamu

    Baada ya ripoti ya BBC Africa Eye kufichua kupangwa kwa utoroshwaji wa watoto walemavu kutoka Tanzania hadi Kenya na kugeuzwa omba omba, nchi hizo zimeahidi kufanya kazi kwa karibu kutokomeza biashara hiyo Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Ukarabati wa Sekretarieti ya Kupambana na...
  2. JamiiForums Tanzania Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How Kenyans are conducting human trafficking network from Tanzania

  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Revenue Authority, Attorney General win appeal over 145bn/- judicial review tax dispute

    By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE Court of Appeal has nullified the proceedings of the High Court, which granted extension of time to Milambo Limited to apply for judicial review in a tax matter relating to payments of over 145bn/- to Tanzania Revenue Authority (TRA). Justices Stella Mugasha...
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  7. JamiiForums Tanzania Inamaana Tanzania nzima hakuna mtu anayeweza kuwa Senior Accountant mpaka akatafutwe India?

    Kwema wakuu Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  11. JamiiForums Tanzania Mwarabu hakuwahi kuweka National Park Tanzania, kwa nini?

    Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
  12. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  14. JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula atumia Mkutano wa CHOGM kuitangaza Tanzania

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki chini ya uongozi wa Waziri Liberata Mulamula imeendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza nchi na fursa zake kama sehemu ya utekelezaji wa diplomasia ya uchumi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
  17. JamiiForums Tanzania Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1 kufungwa Agosti 31, 2022

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo itavihusu vilabu vyote vinavyoshirki ligi kuu ya NBC Tanzania bara,ligi daraja la kwanza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…