tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

    Naam habarini wakulungwa mabaharia. Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona 1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro. Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania, Oman kuongeza maeneo ya ushirikiano

    Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni, Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...
  4. JamiiForums Tanzania Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi". Mimi nimeupata ujumbe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza Tanzania itakuwa wapi kisiasa na kiuchumi miaka 50 ijayo?

    Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali. Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa. Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm. Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
  6. L

    JamiiForums Tanzania “Maharagwe ya China” yaleta “lishe bora” Tanzania

    Julai Mosi mwaka huu, mradi wa “maharagwe madogo, lishe bora” uliotekelezwa na timu ya utafiti wa maendeleo ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha China ulikamilisha mafunzo katika vijiji vinne vya kielelezo ambavyo ni Mtego wa Simba, Makuyu, Kitete na Peapea mkoani Morogoro. Miezi ya Juni na Julai kila...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

    Wadau wa michezo hamjamboni nyote? Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka Mimi nianze kama ifuatavyo Hamna Mchezaji hapo! Hapo tumepigwa! Unamuwekaje Kapombe Sub! Huyo kocha hamalizi msimu! Sasa endelea Tukuumbuke kushirikiana...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Teknologia na Utamaduni Bora: Suluhu Bora ya Hitaji la Mabadiliko Yenye Tija Tanzania

    1. UTANGULIZI Jamii ya Tanzania kama jamii nyingine za nchi za Afrika zenye historia ya kutawaliwa, inakumbwa na changamoto ya kustahimili maendeleo endelevu katika kila secta, iwe Elimu, Afya, Uchumi, Uwekezaji, Kilimo, Viwanda na hata Utalii. Licha ya uwepo wa mifumo bora ya kiuongozi na...
  9. JamiiForums Tanzania URA SACCOS yatoa vifaa tiba kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Chama cha Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi vifaa tiba pamoja na kompyuta kwa vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Jeshi hilo iliyopo Kunduchi, Simiyu na Kumpyuta kwa ajili ya Kikosi cha Ufundi na...
  10. JamiiForums Tanzania Monitoring & Evaluation Specialist / USAID Tanzania Monitoring, Evaluation, Learning and Adapting (T-MELA) Proposal at Tetra Tech

    Proposal Summary: The USAID/Tanzania Monitoring, Evaluation, Learning and Adapting (T-MELA) project will provide these services to the USAID/Tanzania Mission and its implementing partners. The work will include strengthening Mission staff’s ability to employ data to make strategic decisions...
  11. JamiiForums Tanzania Patient Navigator at Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST)

    Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network (AKDN), a not-for-profit international organization that supports social development programs in Tanzania. It has completed a major expansion to position the institution to become a leading and integrated...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji sekta ya umma na binafsi watakiwa kushirikiana kuijenga Tanzania ya kidijiti

    Watendaji wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti, wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo kwa weledi na ubora wa viwango vya kimataifa. Akizungumza katika Jukwaa la Nne la Ubunifu na Teknolojia lililofanyika jijini Dar es...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

    By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai. Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina 'suffocate', tuzo zitazidi kuongezeka maradufu.

    suffocate - hali ya kuteseka Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele. Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka. Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Cacao/cocoa ya Tanzania

    Wana JF habarini za mda huu? Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya: Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania? . Mkoa gani nitaipata? Na kuanzia kilo ngapi? Kama una namba za simu za mkulima au muuzaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

    - Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi! - Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu kuu za changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…