tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania, from an elephant to a bedbug!

    'Tanzania, kutoka kuwa ndovu kuja kuwa kunguni'. Hakika Tanzania katika ushawishi wa kidiplomasia Afrika, duniani, imekuwa si chochote. Jana, mkataba muhimu wa amani baina ya Ethiopia na wapiganaji wa TPLF wa Tigray ulitiwa saini huko Afrika ya Kusini. Nani alikuwepo huko? Kenya, Afrika Kusini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyosikia na kuona Viongozi na Wanasiasa Tanzania nisikilizeni kwa Makini

    Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu unachakumshauri mtu anaye kuzidi kipato au mamlaka? Sasa ni hivi ktk purukushani za siasa hasa hapa Afrika na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

    Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  6. JamiiForums Tanzania African kulipwa fidia ya utumwa je Tanzania tumejiandaa vipi?

    EU country to apologize for slavery – media The Netherlands is expected to set up a multimillion ‘awareness fund’ as part of its history recognition campaign. The Dutch government plans to issue a formal apology next month for its history as a slaving nation, the RTL news website reported on...
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni Uhamiaji Tanzania kwa 'Kutowabughudhi' Wamalawi (hasa Wanawake) wanaoingia 'Kiholela' Tanzania

    Binafsi kama GENTAMYCINE nichukue Nafasi hii Kuwapongezeni kwa dhati kabisa UHAMIAJI Tanzania kwa Kuruhusu Wananchi wa Malawi (hasa Wanawake) Kuingia kwa Uwingi na Kiholela nchini Tanzania ( mhasa Mkoa wa Wajanja) wa Dar es Salaam. Sababu Kubwa inayonipelekea GENTAMYCINE Kufurahia hili ni...
  8. JamiiForums Tanzania China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China. Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania. Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

    Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi. wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu. Mungu ubariki udugu...
  10. JamiiForums Tanzania UNICEF, Tanzania, Kosa si Kosa Bali Kosa Kurudia Kosa

    Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola. Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5 kabla ya mechi ya jana dhidi ya Club Africain ambapo, UNICEF Tanzania walinunua tiketi 10,000 za...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa ushabiki huu uliopindukia Tanzania inaweza 'kutoboa' kisiasa na kiuchumi?

    Maendeleo ya nchi yoyote hutegemea human resource au rasilimari watu kwanza, aridhi na mitaji, ila kwa Tanzania naona kuna ukakasi mkubwa katika rasilimari watu ya nchi hii. Sometime na jiuliza who is behind kwa hu uchizi wa watanzania wa arika zote kua na ushabiki ulio pindukia, kuna mkono wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Tanzania hawawajibiki kwa uzembe wao ila wenzetu wanakubali kuwajibika kwa tatizo ambalo siyo lao?

    Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika. Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza kwa idadi ya Nyati Afrika

    Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili. Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  15. JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge feki wa Bunge la Tanzania wanaojiita CHADEMA. Watunga sheria hewa

    Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui. Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes Lambart, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa na Hawa Mwaifunga. Wengine ni Tunza Malapo, Asia Mohammed...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

    Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa; 1. Uharibifu wa Mazingira 2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba. Kwanini January...
  17. JamiiForums Tanzania Job vanacy - Finance officer at Ecoact Tanzania LTD

    FINANCE OFFICER JOB VACANCY About EcoAct Tanzania Limited EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change. We recycle and transform plastic wastes to manufacture...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Idadi ya watu Tanzania inavutia maoni ya Serikali ya majimbo

    Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara. Takwimu hizi zinaonyesha namna muundo wa serikali yetu unavyotakiwa kubadilika kuwa wa kimajimbo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…