tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: NHC katika Kujenga Mustakabali Endelevu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko

    Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko Tanzania ni nchi tajiri yenye rasilimali nyingi na watu wenye jitihada na uwezo mkubwa. Hata hivyo, ili tuweze kufikia Tanzania Tuitakayo tunahitaji kuwa na mabadiliko halisi na ya kudumu katika nyanja mbalimbali. Kuna mambo kadhaa ambayo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya mageuzi ya katiba mpya ya wananchi

    UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo mwongozo na dira ya nchi yoyote . Ili kuwa na mabadiliko chanya na maendeleo katika taifa letu ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye haya kupunguza mfumuko wa bei nchini

    Mambo matano ya kuyafanya 1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula. 2. Kupunguza ushuru katika vifaa vya kilimo kama uagizaji wa trekta za kulimia ili kuweka usawa na watu binafsi waweze...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: New position

    In the heart of East Africa, Tanzania stood poised at a crossroads, facing the dawn of a new era—Tanzania Tuitakayo, the Tanzania we desire. With a vision set on the horizon of the next five years and beyond, the nation embarked on a transformative journey, fueled by innovation and propelled by...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuendeleze rasilimali zetu na uvumbuzi ili kukuza uchumi

    "Tanzania, njia ya mafanikio, tunakumbatia fikra mpya, tukiendeleza rasilimali zetu na uvumbuzi. Kwa miaka ishirini na tano ijayo, tunajiwekea malengo ya kubadilisha uchumi wetu kupitia viwanda vya hali ya juu, kilimo cha kisasa, na utalii endelevu. Tufanye maamuzi ya busara kuhusu matumizi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Maktaba Imetembelewa na Mwalimu wa Historia ya Tanzania

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za sekondari. Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia na nimejifunza mengi kwanza changamoto zilizomo katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa kutizamia mafanikio, changamoto za sekta mbalimbali; Haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayoendelea kukua kwa kasi kiuchumi. Hii ni kutokana na umahiri wa awamu mbalimbali za uwongozi wa serikali zenye ustadi na umahiri mkubwa wa kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Zifuatazo ni tathmini juu ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

    Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  15. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  17. JamiiForums Tanzania Pikipiki za angani zingalipo Tanzania?

    Zinaitwa HANG GLIDERS. Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate. Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena. 1. Bado zipo Tanzania? 2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo? 3. Gharama ya kununulia na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye hivi kuboresha sekta za Madini, Utalii na Viwanda

    Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa miongo kadhaa, madini yamekuwa sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, na jitihada za hivi karibuni...
  19. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutaja Itifaki ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya

    Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini vyuo vya Tanzania havina endowment funds?

    Endowment fund ni nini? Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo mfuko na kufadhili shughuli za chuo kama tafiti na ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye vipaji au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…