tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwa Kitovu cha Uchakataji wa Madini Tembo

    Tanzania inaingia hatua mpya katika uchimbaji na uongezaji thamani wa Madini Tembo kupitia Mradi wa Fungoni–Kigamboni na Tajiri, huku ujenzi wa kiwanda cha uchakataji ukiendelea Tanga. Mradi huo tayari umeajiri wakazi 278 wa Kigamboni, zaidi ya asilimia 90 wakiwa Watanzania, na Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC Zasisitiza Kuimarisha Biashara kwa Kuondoa Vikwazo Visivyo vya Lazima Mipakani

    Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC zazidi kuimarisha biashara kupitia ushoroba wa kati

    TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Zamani Auwawa Kwa Risasi Zambia. Halafu Utasikia CHADEMA Wanasema Tanzania Hakuna Amani. Lini Mlisikia Waziri Akipigwa Risasi Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuwa na Maneno mengi sana Embu Soma hapa 👉 Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa operesheni ya pamoja ya Vyombo vya Usalama iliyofanyika katika Makazi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Hamna maana yoyote ile. Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia? Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini. Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

    Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia? Halafu, hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  8. JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

    Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya. Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania

    Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania Algerian cashew nut processor, Sarl Anacard’Or cashew, is looking to expand its investment by establishing three factories in Tanzania in an endeavour to enhance profitability on the global market. Speaking to the Tanzanian...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?

    Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo? Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
  15. JamiiForums Tanzania BGR Group: Serikali ya Tanzania Inahangaika Kujisafisha Kimataifa kwa Kutumia Pesa za walipa kodi

    Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao? Soma hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu mnyama Elephant Shrew anapatikana wapi Tanzania?

    Na anaitwaje kwa kiswahili? Ana dili gani?
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Tanzania yawapa wazalishaji wa saruji siku nane kushusha bei

    Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo. Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
  19. JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Defies Odds: Rural Electrification in Under 50 Years!

    Tanzania: Did you know? Twenty years ago, the World Bank predicted rural electrification in Tanzania would take 100 years, but Tanzanians said no and did something different. Now, in less than half a century, they have achieved it. They have even gone further with functional electric trains...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…