tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu inafurahisha sana!

    Wakuu Heshima mbele. Binafsi kuna kitu kinanishangaza sana. Tanzania ni nchi ambayo raia wanaongoza kwa malalamiko dhidi ya serikali. Si serikali ya raisi yoyote ile iliyowahi kuwepo madarakani watanzania wasilalamike. Lakini ukifika kwenye uzi kama wa battle Dar es salaam Vs Nairobi ni watu...
  2. Juma jaibu kuhanga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mawazo yetu tanzania yetu

    Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu

    Tanzania ni nchi yenye historia inayojieleza vizuri kwa wengi, ukwasi rasilimali na umoja. Katika kuelezea kuhusu Tanzania tuitakayo, ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu. Tanzania tuitakayo ni nchi yenye maendeleo endelevu, usawa, haki kwa wote, uchumi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo inapaswa kuwa na Miji ya EcoSmart

    Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na teknolojia kutatua changamoto za mazingira wakati tukiendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
  5. agathaM

    JamiiForums Tanzania Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo yakuzingatia katika mazingira ili kuijenga Tanzania tuitakayo

    Kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022 imeonesha kuwa Tanzania ina watu wapatao milioni 60+ ikiwa ni ongezeko la watu milioni 20+ kutoka sensa ya mwaka 2012, kwa mustakabari huo ongezeko la idadi ya watu linaenda sambamba na ongezeko la shughuri za kibinadamu...
  8. Abu atiqah

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nchi yangu

    Utangulizi: Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri zitaongeza Pato la Taifa. Nchi hii imekuwa maarufu duniani kutokana na Mlima mrefu barani Afrika...
  9. Gloria the writer

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo; The vision for tomorrow

    In the heart of East Africa lies a nation teeming with promise and potential. Tanzania, with its diverse landscapes, vibrant culture, and resilient people, stands at the threshold of transformation. As the sun sets on the present, let us cast our gaze toward the horizon, envisioning a Tanzania...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  13. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya Kiubunifu kwa Sekta ya Afya ya Tanzania: Mwaka 2024 hadi 2049

    Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
  16. Chilimba

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Uhakika

    Nipende kushiriki katika stories of Change kama mdau wa JF. Kama vijana na wananchi wa Tanzania kunamambo ambayo tungependa kuona Nchi yetu ikiyazingatia hasa katika kuendana na dhima kubwa ya Sayansi na Teknolojia. Ninamambo machache tu kushiriki nanyi. 1. Kuwepo na kitambulisho kimoja ambacho...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

    Mwaka 2014, Benki ya Maendeleo ya Afrika iliandaa kongamano lililofanyika nchini Rwanda ambalo nilipata abra ya kusikiliza. Kongamano hilo, lilikuwa linafanya kumbukizi ya kila mwaka ya Benki ya Maendeleo ya Afrika iliyoanzishwa Julai Mosi, 1966; liliongozwa na tafakuri isemayo ‘Uongozi na...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna taasisi inayojishighurisja na haki za wanyama? Kama ipo mnijuze kabla sijafanya ukatili mbaya

    Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi. Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu. Sasa...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania of ICT

    Embracing innovative ICT opportunities in Tanzania has the potential to transform the economic landscape over the next 5 to 25 years. By integrating technologies such as remote work platforms, digital marketing strategies, e-commerce platforms, and software development into the workforce...
Back
Top Bottom