tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA WE WANT: My Tanzania, My Responsibility: Living in Harmony and Peace

    Tanzania, a land woven with vibrant cultures, breathtaking landscapes, and a rich curtains of history. Tanzania is a nation we all call home, your home, my home its our home. Yet, the true beauty of Tanzania lies not just in its physical attributes, but in the spirit of its people, most...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 "KULETA MAPINDUZI YA DIJITALI: Safari ya Tanzania kuelekea Mawasiliano ya Ufanisi

    Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia mabadiliko na fursa zinazoendana na zama za dijitali, hapa chini tunajadili hatua muhimu zinazoweza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Kijani inawezekana, yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira

    Tanzania ya Kijani inawezekana Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira: Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye rasilimali nyingi, maliasili na hifadhi nyingi za wanyama, misitu, maziwa na maeneo asili ambayo yote...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ubunifu katika sekta ya uvuvi kunaweza kuleta maendeleo makubwa kwa Tanzania ijayo

    TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO. Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya drones,vifaa vya kiotomatiki sensors na IoT, teknolojia ya satellite ,uvuvi wa mbali...
  5. JamiiForums Tanzania Script ya makocha wazawa wa Tanzania katika tathimini ya mechi

    Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne. 1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu..... 2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah 3. Mpira una matokeo matatu... 4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
  6. JamiiForums Tanzania Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Hisabati ndiyo kesho ya watoto wetu na Tanzania yetu

    Kwa dunia ya leo ya ulimwengu wa kidigitali, ni lazima somo la hisabati lipewe kipaumbele kwakuwa ni msingi wa program nyingi za teknolojia ya kisasa. Mifumo mingi ya kidigitali tutanyotumia leo katika shughuli mbalimbali ina chembechembe za hisabati katika utengenezaji wake na utumiaji wake...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Empowering Tanzania: A Strategic Shift Towards Off-Grid Renewable Energy

    Empowering Tanzania: A Strategic Shift Towards Off-Grid Renewable Energy Introduction In the heart of Tanzania, young Amina studies by the dim light of a kerosene lamp, her aspirations of medical school shadowed by the reality of energy poverty. Her family’s struggle is shared by over 65% of...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Reducing Traffic Jams in Tanzania: A case of Dar es Salaam

    Traffic congestion is a major challenge in Dar es Salaam, Tanzania's largest and most economically significant city. With its rapid population growth and urbanization, the city's infrastructure struggles to keep pace with increasing vehicular traffic. To address this pressing issue, a...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa Madaraka Tanzania

    Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini

    Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi? --...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa Rais na Baba wa taifa J.K Nyerere maneno haya yamekuwa yakisemwa na viongozi na wanamapinduzi...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Watoto wetu hazina yetu

    Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya kibunifu kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ya baadaye inaweza kujenga msingi imara wa maendeleo endelevu kwa kufanya mageuzi ya kina katika maeneo muhimu kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, na miundombinu. Hapa ni maono ya kibunifu kwa kila eneo ambayo yanaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25...
  15. JamiiForums Tanzania List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  17. JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

    Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana kwa sababu ya uhitaji wa timu zote mbili. Nani kuibuka mshindi leo? --- Kikosi cha Simba...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni tatizo au Serikali imekosa mwelekeo?

    Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa. Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya serikali iamini kwamba wao ni mabosi wa mahakama. Mahakama imetuhumiwa kutotenda haki, imetuhumiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Tanzania yenye maendeleo kwa kizazi cha kesho na kesho kutwa

    UTANGULIZI. Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari. Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya Nchi na kwa mujibu wa sheria wakauchagua utaifa wa Tanzania baada ya miaka kumi na nane. Hivyo basi...
  20. JamiiForums Tanzania DKT Tulia: Mtambo wa kupima Ubora wa Barabara kuleta Mageuzi Tanzania

    MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…