tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Urejeshaji wa Viumbe vilivyo Hatarini Kutoweka

    Tanzania, pamoja na eneo lake la kipekee la kijiografia kando ya ikweta na eneo kubwa la ardhi ya asili, inasimama kama mwanga wa matumaini kwa urejesho wa viumbe vilivyo hatarini kutoweka. Dira hii inaangazia mpango wa kina wa kulinda, kurejesha, na kuunganisha tena viumbe vilivyo katika hatari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

    1.Utangulizi Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali. MALENGO YA DEMOKRASIA. 1.Maadili ya uhuru...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Blockchain technologies: A solution for good governance and accountability in Tanzania

    Advances in artificial intelligence (AI), biotechnology, and blockchain technology are changing existing social patterns and putting pressure in legal status quo. While much discussed, blockchain is relatively Little understood. BLOCKCHAIN IS A DIGITAL LEDGER THAT OPERATES ON A DECENTRALIZED...
  4. JamiiForums Tanzania Special Olympics (wachezaji wenye ulemavu wa akili) Tanzania kushiriki UMITASHUMTA

    TIMU ya soka jumuishi kwa wachezaji wenye ulemavu wa akili Tanzania wanatarajia kuiwakilisha taasisi ya watu wenye ulemavu wa akili katika mashindano michezo kwa shule za msingi Tanzania (UMITASHUMTA) inayoanza Juni 6-15 mwaka huu. Katika mashindano hayo yanayofanyika kwenye viwanja vya...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye mfumo bora wa kukomesha ukatili kwa watoto

    UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa Katiba Mpya kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yetu iliyojaa amani, umoja, mshikamano na upendo. Jambo kubwa na la msingi ambalo linahitajika na kufaa katika dira ya nchi yetu kwa miaka ijayo ni kama ifuatavyo SUALA LA KATIBA MPYA, ili kupiga hatua katika kila sekta yetu yoyote ile msingi mkubwa ni kuwepo kwa katiba mpya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania huru

    Tanzania huru Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu , Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni yatakayo isaidkia selikali kujua niwapi wanatakiwa kuongeza kuvu katika utendaji Kaz...
  9. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni tunu na zawadi kwa vizazi vyetu mitaala ya elimu ibadilishwe

    Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maamuzi magumu yapo mbele ya wana Kidon wa Tanzania

    Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa. Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has become a global challenge, caused primarily by the increase in greenhouse gases and excessive...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

    Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Wakati Marekani ina idadi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Taifa la Kujitawala

    Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na serikali ya Tanzania. Kwa muda mrefu sana, tumeacha udhibiti wa bandari zetu, maliasili, miradi...
  19. JamiiForums Tanzania Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…