tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 The future of goats and sheep in Tanzania

    According to the current trends in the market of sheep and goat sector, it shows that this business is at a critical stage in its development, and it is of utmost urgency to halt its decline, even if this means that some forms of support have to be re-evaluated. If no action is taken, the...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

    Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00: Mchezo umeanza 06: Tanzania 1-0 Zambia 10: Zambia 0-1 Tanzania 20: Zambia 0-1 Tanzania 30: Zambia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ijumuishe mambo haya

    1. Kuwekeza katika elimu na mafunzo ya ufundi ili kuongeza ujuzi wa nguvu kazi. 2. Kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuboresha mazingira ya biashara. 3. Kuimarisha miundombinu ya usafirishaji na nishati ili kurahisisha biashara na maisha ya wananchi. 4. Kupambana na rushwa na kuhakikisha...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Punguzo la tozo namba za usajili maalum za magari katika kuongeza pato la Serikali Tanzania

    Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba] Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Yenye Wananchi Walio Huru Kiuchumi

    JIWEKEE AKIBA UWE HURU KIUCHUMI Katika hali ya kawaida watanzania wengi hatuna tabia ya kuweka akiba. Hii imetokana na mazoea ya kawaida ya kuishi kutokana na kipato tunachopata. Tabia hii imejengeka kwa watu wa kipato cha chini hadi wale wenye kipato kikubwa, watu wasio na kipato rasmi hadi...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo, bila kilio cha ufaulu hafifu wa somo la hisabati kidato cha 4

    Utangulizi Somo la hisabati (mathematics) ni moja kati ya masomo yaliyoko kwenye mtaala wa masomo Tanzania kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kutokana na umhimu wake kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla, somo hili ni msingi kwa kila mwanafunzi katika ngazi hiyo kulisoma na kufanyiwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka ni ile yenye macho ya kuona kizazi cha tatu na cha nne kutoka hivi sasa

    Ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia pamoja na kiutamduni hatuna budi kuhakikisha baadhi ya mabadiliko katika mfumo mzima wa ajira kuanzia ngazi ya chini, mpaka ngazi juu yanafanyika, ili kufanya malengo ya taifa ya maendeleo ya muda mfupi, kati na muda...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: Education especially Technical Education and Skills Development

    Education especially Technical Education and Skills Development Introduction Technical education and skills development are crucial for fostering economic development and reducing unemployment. For Tanzania to achieve sustainable economic growth and improve the quality of life for its citizens...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa liboreshe haya kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ilipata uhuru wake Tar 9 Desemba 1961, wakati huo ikijulikana kama Tanganyika. Zanzibar ikapta uhuru tar 9 Desemba 1963, na nchi hizi zikungana tar 26 Aprili 1964 kutengeneza nchi iitwayo Tanzania. Pamoja na kupata uhuru mapema lakini bado nchi haijaendelea vya kutosha, zipo sababu...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Want: An Innovative Vision for Infrastructure

    The Tanzania We Want: An Innovative Vision for Infrastructure. Introduction The vision for Tanzania over the next 25 years is to develop world-class infrastructure that supports sustainable economic growth, enhances quality of life, and positions the country as a regional hub. This vision...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Want. An Innovative Vision for the Economy

    The Tanzania We Want: An Innovative Vision for the Economy Introduction The vision for Tanzania over the next 25 years is one of sustainable economic growth, innovation, and inclusive development. By harnessing technology, fostering entrepreneurship, and investing in key sectors...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo inatakiwa iwe ya uwajibikaji

    Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee. Uhuru wa vyombo vya habari: Bado sijaona uhuru wa kuhabarisha uma kwa vyombo vyetu vya habari, huenda ikawa ni utashi wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania digital economy

    Tanzania is one among countries which its economy has been growing fast and at a high rate. According to national bureau of statistics in 2022 the net worth of output increases to TZS 141,872,730 compared to TZS 135,478,189 in 2021 equals to growth rate of 4.7 percent (www.nbs.go.tz). The growth...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

    Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo Chakwera alitaka kwenda holiday Bahamas? NB: Wanyasa punguzeni kujitutumua
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Vision for a Thriving Future in Tanzania

    In the heart of East Africa, nestled between the vast plains of the Serengeti and the crystal-clear waters of the Indian Ocean, lies Tanzania - a country with a rich tapestry of culture, history, and natural beauty. As the sun rises over the majestic peaks of Mount Kilimanjaro, casting a golden...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za ufundi Tanzania ziongezwe na Elimu ya ufundi ipewe kipaumbele

    Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mikakati ya Mazingira Bora Kimaendeleo

    Tunapotarajia mustakabali wa Tanzania, ni muhimu kutengeneza dira ya kina na ya mbele inayoshughulikia sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. Lengo ni kuunda taifa lisilojitegemea tu bali pia kiongozi katika ubunifu na maendeleo endelevu. Dira hii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mpango wa Mustakabali Endelevu na Ufanisi

    Tunaposimama kwenye njia panda za maendeleo na utunzaji wa mazingira, wakati umefika kwa Tanzania kuweka njia dhabiti na yenye dira kuelekea mustakabali endelevu na wenye mafanikio. Changamoto tunazokabiliana nazo leo, kama vile ukataji miti, mbinu zisizo endelevu za uchimbaji madini, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…