tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  2. JamiiForums Tanzania Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania lacks organized and vibrant opposition

    that has completely no capability to check, advice and criticize the sitting government with alternative strategies and plans.. what can be done so that able, visionary and meaningful opposition in Tanzania be born?
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Railway Cooperation (TRC) wanahitaji Electrical Tech II na Mechanical Tech II.

    Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
  5. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania watawala wanatishia kufungia X, Ruto asema ataendelea kuingia space X, ndio safari imeanza

    Ruto pamoja na jana kupewa makavu kule Space ila amesema ataendelea kuwepo Space ili kusikiliza raia zaidi. Kule watu wamemchana live kiasi kwamba ingekuwa ni kiongozi hata Mkuu wa wilaya Tanzania kachanwa vile, leo kungekuwa na jamm ya matamko na press conference zisizo kuwa na idadi...
  7. JamiiForums Tanzania Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

    Wakuu 1. Router ni bure 2. Router ni ya 5G 3. Tunakuletea popote 4. Vifurushi ni unlimited 5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100 Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo Kama ni mtu binafsi 1. Tin certificate 2. Nida ID 3. Pesa ya kifurushi Kama ni taasisi au kampuni uwe na 1. Nida...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  9. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  13. JamiiForums Tanzania Research on the Legal Protection of Traditional Knowledge in Mainland Tanzania

    Hello everyone, I am currently doing a research on the Legal Challenges of the Protection of Traditional knowledge in Tanzania Mainland. In order to get valuable research findings I am asking for your help to take 5 minutes of time and fill out my online questionnaire: Legal protection of...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania Tuitakayo: Mazingira bora na endelevu, na wito wa kila Mtanzania kushiriki katika safari ya kubadilisha nchi

    TANZANIA TUITAKAYO Katika ardhi ya Tanzania, kulikuwa na kikundi cha vijana wenye moyo wa kipekee na maono makubwa. Walikusanyika pamoja kwa lengo moja: kubadilisha mazingira na kuleta maendeleo ya kudumu kwa kutumia ubunifu wao, Greenfuse Charcoal. Baltazary, Gabriel, Veronica, Dorah, na...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi ya Qatar kusaini(Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika Utalii

    TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Tanzania (MCT) linazindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022/23 leo Julai 4, 2024

    LICHA YA UHURU VYOMBO VYA HABARI KUONGEZEKA TANZANIA, BADO KUNA SHERIA KANDAMIZI Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani Machi 2021, bado utafiti kuna Sheria...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tufanye M23 wangekuwa nchi nyingine ukubwa wao ungekuwa upi?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambayo ukubwa wake ni takriban sawa na Ulaya Magharibi, ni nchi kubwa katika eneo la Jangwa la Sahara. DR Congo imejaliwa kuwa na maliasili za kipekee, ikiwa ni pamoja na madini kama vile kobalti na shaba, uwezo wa uzalishaji umeme kwa maji, ardhi kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kiundwe Chama cha Watu Wenye Akili Tanzania

    Salaam. Kumekuwa na vyama vingi vya kutetea au kusemea makundi mbalimbali ya watu ila watu wenye akili nyingi AKA ma genius hawana kundi au chama cha kuwasemea na kuwatetea. Watu wenye akili sana mara nyingi huonekana wakorofi na mara nyingine wanaonekana hawaeleweki pengine kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…