tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania CECAFA U-17 Women’s Championship 2026 | Tanzania vs Kenya | 17 June 2026 | 04:00 PM | KMC Dar es Salaam!

    Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea. Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya. Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri. Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kuruhusiwa kufanya siasa, kuna kundi limeibuka TikTok linatukana viongozi. Vyombo vya ulinzi viwafundishe adabu

    Naomba kusiwe na lelemama kwa mtu yyte anayetukana viongozi mitandaoni, hii tabia imeibuka baada ya chadema kuruhusiwa waanze kufanya shughuli za kisiasa. Tusicheke na hawa vibaka wa chadema wanaotukana viongozi wetu mitandaoni. Mtoto mwenye malezi duni lazima anyooshwe na dunia
  3. JamiiForums Tanzania Diplomacy in Action: US & Tanzania Strengthen Ties

    Interesting timing. As debate continues around S.4577, senior U.S. and Tanzanian officials are meeting to discuss strengthening bilateral relations, preserving shared interests, and advancing commercial deals that benefit both countries. In international relations, active dialogue is often...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka ipcc hadi Udom: Dkt. Chang’a aongoza majadiliano ya mustakabali wa tafiti za tabianchi Tanzania

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a, tarehe 16 Juni 2026 ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya TMA na Chuo hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza kuwa na viwanja kama vya Marekani, vikubwa na vizuri kama tukiamua sababu uwezo upo

    Kombe la dunia linaendelea watu wengi wamekuwa wakishangaa vile viwanja vya marekani vilivyokuwa vikubwa na vizuri Na hapo pia kuna viwanja vingi sana vya college ambavyo havijatumika mfano kiwanja cha Rose bowl pasadena kilichochezewa fainal 1994 hakipo kabisa kwenye mashindano Kiwanja cha...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kinondoni historically imebakia kitovu cha uchafu wa aina yote tanzania?

    Drugs, madada poa ,makaka poa, matapeli, sex parties, kibao kata, etc
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga maandamano 7/7 mkae kimya, mtuache sisi tunaopenda Tanzania tuandamane. Na tutaandamana tu

    Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu. Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga maandamano yetu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Duma Truck Tanzania

    Kwa huduma ya kutuma mizigo midogo, ya kati na mikubwa kutoka Mwanza na Dar es salaam, Duma Truck Tanzania tunawakaribisha kufanya kazi nasi. Piga simu sasa 0618480710
  9. JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika maadhimisho ya miaka 30 yake

    Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), napenda kuchukua fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa viongozi, menejimenti na wafanyakazi wote wa TRA kwa kazi kubwa na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chote cha miaka hiyo. Kwa hakika, miaka...
  11. JamiiForums Tanzania China imezika Shahada 12,200+ zilizopitwa na wakati kupisha AI. Tanzania bado tumelala? Wasomi wetu wamejiandaa au tusubiri vilio vya 'hakuna ajira'?

    Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo. Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania PPPs and Vision 2050: Why Tanzania Needs Broad Public Dialogue Now More Than Ever

    Why public debate may be the missing ingredient in Tanzania’s PPP ambitions Economic development is often discussed through the language of numbers. Governments announce growth targets, economists debate investment flows, and policymakers measure progress through indicators such as GDP...
  13. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania.

    Nimeikuta hii huko Youtube. https://youtu.be/TdpZMM5cbo4?si=BQFl2tp0WEveObmJ
  14. JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami...
  15. JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

    Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa Iran inapendwa dunia nzima ikiwemo Tanzania

    Angalia bungeni
  18. JamiiForums Tanzania Kiwango cha utegemezi kiuchumi Tanzania kinatisha, ni janga

    Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…