tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

    Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo...
  2. JamiiForums Tanzania job announcement for the position of Reporting & Geo Market Executive at Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)

    Position Title: Reporting & Geo Market Executive Business Unit / Function: Revenue Planning Location: Dar es Salaam Department: Marketing Administrative Reporting to: Marketing Director Job Purpose: To manage Business Intelligence (BI) at the OPCO level and oversee the site rollout process from...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka za kimataifa haziwezi kuishinikiza serikali ya Tanzania kuwaachilia mateka au kuwapeleka mahakamani

    Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
  4. T

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania ya 4 Afrika kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA

    Kwenye repoti ya fedha ya Benki ya Dunia inayoishia June 2024 inaitaja Tanzania kama nchi ya 4 kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA. IDA ni taasisi iliyo chini ya benki ya Dunia ila wao wanajikita kwenye nchi 75 masikini zaidi Duniani ikiwemo Tanzania. Mikopo ya IDA hua ni nafuu sana na inalipwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... πŸ‘‚ π— π— π—˜π—¦π—œπ—žπ—œπ—” π—›π—¨π—žπ—’ ?πŸ˜€ "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  8. JamiiForums Tanzania Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

    1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian). 2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itumie Teknolojia mpya zinazoweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani nchi Tanzania,kuepuka matrafiki

    Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani: 1. Kamera za Ufuatiliaji: Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali. 2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS): Teknolojia...
  11. JamiiForums Tanzania Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

    Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake. Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ubelgiji zakubaliana maendeleo sekta ya nishati

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia. Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia, viongozi hao walikubaliana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

    Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

    The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy. Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania One stop business center ya Ubungo ikijengwa itaua Kariakoo na kubadilisha mfumo mzima wa biashara Kwa Tanzania na nchi jirani

    Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tanzania kupitisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa watuhumiwa wa vitendo vya kikatili

    Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa vipengele vya tuzo za Tanzania music awards (TMZ)

    Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ) 1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila yeye sijiwezi), Amina kidevu(hatuachani) 2,Best male artist of the year. Marioo (shisha), Diamond...
  20. R

    JamiiForums Tanzania A Wake-Up Call for Public-Private Partnerships in Tanzania

    Introduction Almost a decade ago, Tanzania embraced the Public-Private Partnership (PPP) model, heralding it as a transformative approach to boost infrastructure development, spur economic growth, and improve public services. The PPP framework was codified into law, supported by a dedicated...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…