tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania citizens ignored protest by opposition leaders

    #Alternative News# Majority of Tanzanian citizens have ignored the call from Tanzania main opposition leader to protest against President Samia Suluhu Hassan. The incumbent President Samia is known for her endless efforts and resillience towards opposition since came into power. Many...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya solar Panels nchini Tanzania

    Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  7. JamiiForums Tanzania RICARDO LAIZER.from Arusha Tanzania at UCI world championship at ZURICH

    🚨"THIS IS ONLY THE BEGINNING", SAYS LAIZER Right after the finish line of the UCI World Championships in #Zurich2024, here is what Richard Laizer told us: “I am very happy with my first Cycling World Championships! I could feel a very special, warm and powerful atmosphere with the crowds and...
  8. JamiiForums Tanzania Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

    "Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Spider Mousa Camara ndiye kipa bora kwasasa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika Twende kazi kwa uchambuzi zaidi Ukibisha sikushikii kiboko
  12. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ndio imebeba dhamana ya kudumisha amani au kuleta machafuko ndani ya Tanzania

    Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na utulivu. Utawala wenye kuzingatia ukatiba na misingi ya demokrasia ndio nguzo ya amani na utulivu...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Tanzania ni Wazubavu, Watu wenye tabia ya Kuzubaa

    Kuna ka-reserch nimekafanya kwa muda kidogo kuhusu tabia za watanzania na kugundua kuwa watanzania wengi wana tabia ya kuzubaa, akili kama inachelewa kuload, kuchelewa kufikiri na kutofanya maamuzi kwa usahihi na kwa ufanisi, Ninachelea kusema kwamba maisha ya watanzania ni mabovu kwasababu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Balozi kaamua kuungama hakika tanzania ni taifa imara

  17. JamiiForums Tanzania Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
  18. JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yashinda Tuzo ya Ubora katika Usalama

    Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…