tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kazi ya upolisi ni kazi yenye changamoto sana

    May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni watu wa dhuluma, uonevu na unyama wa kutisha unaweza kusema mtu fulani mtoto wako au ndugu ni mwema...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Waliosoma BSc. Food, Nutrition & Dietics pale Open University of Tanzania

    Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo: 1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri. 2...
  3. JamiiForums Tanzania Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  6. JamiiForums Tanzania Ramani ya Tanzania mwaka 1956

    Ramani ya Tanzania ya mwaka 1956 ikionyesha Makabila. Kama huoni kabila lako tafadhali tafuta vibali vya kuishi nchini.😂 i
  7. JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Abandoned and alone: Here is why the rise of street of children in Tanzania is the next big pandemic

    The hardships and struggles faced by street children raising themselves are not to be overlooked. They sleep on shop verandas, abandoned buildings, broken vehicles, and some are sexually exploited throughout the night. An investigation by Nipashe in the regions of Arusha, Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  10. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  11. JamiiForums Tanzania kwanini Tanzania lakini ?? 🤏

    Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania. Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana. Kama tulivyo na sports, Medical, entertainment, fashion, political etc. Jamii inahitaji hii Elimu sana au wewe mdau...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
  13. JamiiForums Tanzania Juhudi za makusudi zinatakiwa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi

    Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua kiuchumi. Aidha mambo haya yanapaswa kuzingatiwa kwa wanwake 1. Kutambua umuhimu wa Elimu 2. Kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

    Kila siku nasema. Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari...
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao gani una huduma bora Tanzania?

    Mtandao gani wa simu Tanzania una masiliano Mazuri na Uhakika Tanzania au Ambao unaongoza kua na Huduma nzuri na Zenye Uhakika kwa mtumiaji.
  16. JamiiForums Tanzania Website ya Air Tanzania imepatwa na nini?

    Nahitaji ku-book ticket kwenda Kigoma tarehe 12/11/2024. Naingia website ya Air Tanzania naona manyota nyota (imestak) kulikoni?
  17. JamiiForums Tanzania NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

    Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa + ufugaji *Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine *Internet ya uhakika Nawaza Sana kuhusu chato...
  18. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania na uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa

    Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mpaka wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…