tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  2. JamiiForums Tanzania Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  3. JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

    Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu. Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uganda wana import Gold from Tanzania kwani hapa hamna refinery?

    Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda? Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  9. JamiiForums Tanzania Hii siyo Tanzania niijuayo!

    Inasikitisha sana! 1. Mtu "anatekwa" Mchana kweupe huku watu wakishangaa mithili ya nyumbu wa Serengeti? 2. Mtu anapiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna hata anayejaribu "kuigiza" kusaidia? 3. Kama sura ya "mtekaji" imeonekana wazi kabisa lakini bado Polisi "wanashindwa" kumkamata...
  10. JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari. Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

    Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kazi ya upolisi ni kazi yenye changamoto sana

    May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni watu wa dhuluma, uonevu na unyama wa kutisha unaweza kusema mtu fulani mtoto wako au ndugu ni mwema...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Waliosoma BSc. Food, Nutrition & Dietics pale Open University of Tanzania

    Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo: 1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  17. JamiiForums Tanzania Ramani ya Tanzania mwaka 1956

    Ramani ya Tanzania ya mwaka 1956 ikionyesha Makabila. Kama huoni kabila lako tafadhali tafuta vibali vya kuishi nchini.😂 i
  18. JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Abandoned and alone: Here is why the rise of street of children in Tanzania is the next big pandemic

    The hardships and struggles faced by street children raising themselves are not to be overlooked. They sleep on shop verandas, abandoned buildings, broken vehicles, and some are sexually exploited throughout the night. An investigation by Nipashe in the regions of Arusha, Dar es Salaam...
  20. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…