Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo.
Akizungumza katika ziara ya Maafisa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Makao Makuu ya Polisi...
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano
Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka...
Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na utatumiwa popote ulipo.
Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara.
Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu!
Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri.
Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa nchi, hasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Ni suala la wazi kuwa Muungano huu umeleta...
Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu.
Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani.
Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977.
Kwa miaka mingi...
Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya.
Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
Serikal ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (Commission for Mediation and Arbitration - CMA) na sheria mahususi ya Ajira na Mahusiano Kazini Sura 366 ya mwaka 2019 pamoja na Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi ilikuwa na lengo kuu la kuhakikisha mashauri yanayohusu ajira, wafanyakazi na waajiri...
Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.
Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...