Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo.
Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...