tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Norway kuimarisha mahusiano katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Waziri Mhandisi Masauni akiwa ameambatana na Ujumbe wa Tanzania pamoja na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, amekutana na kufanya Mazungumzo na Bw. Bard Vegar Solhjell, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) pamoja na Bi. Marita Sorheim Rensvik Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  2. JamiiForums Tanzania The President of the Republic of Finland, H.E. Alexander Stubb has arrived in Dar es Salaam, Tanzania, for a three-day state visit from May 14 to 16

    The President of the Republic of Finland, H.E. Alexander Stubb has arrived in Dar es Salaam, Tanzania, for a three-day state visit from May 14 to 16, 2025. This visit comes at the invitation of the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. During the visit, the...
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Taneco Kahama Mtaua Watu

    Habari za mida hii wanajf? Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take. Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco wamezidisha kero na hatari kwa wakazi wa eneo hili. Toka waweke nguzo na nyaya zipo chini nawakati...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki” – Sio Kauli ya Kushtua, Ni Ukweli Unaokua

    Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia, diplomasia, uchumi, na nafasi ya kistratejia – Tanzania inaendelea kuwa kama Ujerumani katika Ulaya...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati

    Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipokutana na Mwenyeji wake...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  7. JamiiForums Tanzania Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

    Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka Multiplier...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  12. JamiiForums Tanzania The "Icons" of Genuine Politics in Tanzania

    Sala Mungu Wabariki hawa Watu, Zibariki familia zao, Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6, Bariki kazi za mikono yao. Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani usioangalia maslahi binafsi bali maslahi ya Taifa na Wananchi wote. Upinzani wenye lengo la kuwakomboa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Diaspora ni Tanzania ambaye ameukana Uraia wake, kama hajaukana huyo ni Mtanzania tu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema Mtanzania yeyote ambaye yupo nje ya mipaka akiwa na Passport huyo ni Mtanzania kama wengine lakini...
  14. JamiiForums Tanzania House for sale,located at Makumbusho,price Tsh950m, negotiable

    #sale LUXURY 4 BEDROOMS MANSION FOR SALE ☀ ASKING PRICE::: 950,000,000 Tshs ☀ PLOT SIZE : 456 SQM ☀ CLEAN DOCUMENT TITLE DEED ✨ Location:: MAKUMBUSHO ✔️ 4 Bedrooms Fully Ensuit ✔️ 2 Sitting Room Area ✔️ Kitchen ✔️ 2 Public Toilets ✔️ Private luku. ✔️ Dawasco Water Service Available ✔️...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

    Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA. Mbali na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania is not a prison. Free the Damn People!

    Yo, what the hell is goin’ on in Tanzania, man? This ain't no damn movie — it's real life and sht’s gettin’ crazy. People out here gettin’ snatched up for speakin’ the fckin’ truth? For demandin’ their basic-ass rights? That’s some straight-up dirty play, no cap. Y’all in power actin’ like the...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa lengo la kuleta ushindani na mageuzi ya kiteknolojia natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii Tanzania

    Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok. Mitandao hii imekuwa ndio mitandao namba moja duniani kote ikiwemo Tanzania huku intagram, Facebook na Twitter...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) yasema Meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho

    Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko juu ya chombo hicho cha usafiri kurejea kwenye ratiba zake kama kawaida. Ameeleza kuwa tamko rasmi...
  20. JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…