tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kwa hapa kwetu Tanzania naweza soma Master's degree in sign language interpretation

    Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  3. JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 226 imepandwa Tanzania nzima

    ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024 ambapo miti milioni 211.81 ndiyo ilistawi ikiwa ni sawa na asilimia 76%. Tathmini ya miti...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya baadhi ya mafisadi wa Tanzania tangu 2000 nakuandelea

    Orodha ya mafisadi wakubwa waliowahi kutajwa au kuhusishwa na kashfa kubwa za ufisadi Tanzania tangu mwaka 2000 ni ndefu na imejumuisha wanasiasa, wafanyabiashara na watendaji wa serikali. Zifuatazo ni baadhi ya kashfa na watu waliotajwa kuhusika: 1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) –...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaenda kutangazwa rasmi Taifa la Kidikteta?

    Mataifa kadhaa Duniani yamepitia nyakati ambazo Tanzania inapitia kwa sasa, ambapo mifumo yote ya haki za wananchi huangamizwa na watawala. Kwenye utawala wa kidikteta, hakuna mifumo ya haki ambayo huwa inafanya kazi. Utawala wa kidikteta hupora mifumo yote ya utawala na haki, na kuiweka chini...
  8. JamiiForums Tanzania Sauti za Farao zinarudi: Tanzania katika kioo cha Misri ya kale

    Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania fanyeni kitu juu ya ushoga kwa kutoa nyimbo au maigizo ya kikataza ushoga

    Ni ajabu nchi inakumbwa na janga la ushoga alafu watu wetu wa sanaa ambao ni kioo cha jamii wapo tu kimya? Tulitegemea kipindi cha majanga ya namna hii tungeskia nyimbo na maigizo mengi juu ya ushoga lakini wapo kimya,! Kuna wimbo mmoja wa Jay combati unaitwa sio mwana, Unapendwa sana...
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

    Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
  13. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azidi kutabiriwa kama mjumbe wa Mungu kuikomboa Tanzania!

    Sikiliza huu unabii kutoka kwa mchungaji maarufu hapa Tanzania: Note: anayeshindana na lissu atakwenda na maji
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  16. JamiiForums Tanzania Business Manager at First Housing Finance (Tanzania) Ltd April 2025

    Job Advertisement: Business Manager Company: First Housing Finance (Tanzania) Ltd Department: Business Reports To: Chief Executive Officer Company Description: First Housing Finance (Tanzania) Ltd is the leading housing finance company in Tanzania, committed to providing long-term housing...
  17. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni ngumu ama?

    MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
  18. O

    JamiiForums Tanzania Haki haiombwi, inapiganiwa: Vijana wa leo kwa Tanzania Bora

    Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko. Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…