tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 🧵 REGIONAL ANALYSIS: Treason Charges and the Systematic Crackdown on Opposition Leaders in Uganda and Tanzania

    ENGLISH VERSION A deeply concerning and highly coordinated political shift is currently unfolding across East Africa. Prominent opposition figures in both Uganda and Tanzania are currently detained behind bars facing severe treason charges—capital offences that carry the potential death penalty...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa ajili ya nani?

    Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala yake, aliuliza swali lililogusa kiini cha mjadala wa makazi nchini. Hivi kweli mwananchi wa kipato...
  3. JamiiForums Tanzania Meli yenye Kupeperusha Bendera ya Tanzania yalipuliwa na Russia

    Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi. Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine. Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio. Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Daily Maverick (Op-ed): Hata Wewe, Samia? Dola ya Kimabavu ya Tanzania na Ukanushaji wa Mauaji

    Dk Paula Cristina Roque Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South). **** Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya ajira kati ya China na Tanzania yawaunganisha vijana na fursa za ajira

    Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Tanzania aunganisha tamaduni kupitia lugha ya Kichina na opera ya jadi

    Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wanaweza kuuza tanzania angalia hapa

    The alleged head of a fake agency linked to Nigeria’s presidency has been arrested after weeks in hiding. He is accused of using forged documents to establish the agency, open bank accounts and seek official recognition. The agency even appeared in Nigeria’s 2026 budget with an allocation of...
  9. JamiiForums Tanzania Hudama za ISP tanzania kama Umeweka server yako mwenyewe tanzania ukiunganisha nao.

    Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii. Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Wakata tiketi wa Mwendokasi: Kuna unyonyaji na ukiukwaji wa haki za Wafanyakazi

    Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu. Hata...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubora wa huduma za Voice Calls za Vodacom Tanzania – Tarime

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Balozi wa China nchini Tanzania

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
  14. JamiiForums Tanzania China imeongeza sheria ya PHD ila tanzania PHD hata wasio soma na waliopata F wanazo hapa.

    Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD. Huyu masuya na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  16. JamiiForums Tanzania Leo majangwa yana badilishwa kuwa misitu ,lakini Tanzania imeshindwa kutumia maziwa yaliyomo maji yake kuwa mkombozi wa maji wakati yanarudi kule kule

    Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
  17. JamiiForums Tanzania Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kazi: Mwalimu wa Kiingereza (Tanzania) 🇹🇿 🇰🇪

    Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education). Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana. Sifa zangu kwa ufupi: •📑...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu sana kuimiza teknolojia ambazo kuungwa mkono hata serikali inaweza kugoma ndio maana tunaishia kukimbiwa na wazawa

    Shida ni elimu zetu ndio maana napata tabu sana elimu kuandika ila kwenye sayansi na teknolojia na siasa hapa unidanganyi. Kuna marehemu dada mmoja kipindi cha magufuri aliwahi kufanya research na kugundua ni kama gonjwa ila serikali ili mfanyia figusi na kufuzwa ila alichukuliwa na wenzetu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

    Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro.. Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga. Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…