tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo ya kubezwa ni Chama kikubwa na kikongwe sana Tanzania, Kilizaliwa Mwaka 1993 wakati huo CCM ikiwa na Miaka 17 tu

    GT. Kuna watu.wanakichukulia hiki chama masihara hao watu mi nawaita ni vipofu na hakuna wajualo. Hata huko CCM hawalali wanaposikia No Reform No election wanaijua nguvu ya Chadema. Mkakati wa CCM kinunua wapinzani utabuma mwaka huu, hii ni kutokana na Chadema kuendelea kuwa imara pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakosekana kwa Tanzania na nchi zote za kiafrika kiasi cha kugeuka kituko, ombaomba, na kopakopa?

    Afrika imejaliwa raslimali zote kuanzia ardhi, watu, hali nzuri ya hewa isipokuwa haikujaliwa viongozi wenye akili na visheni. Japo tukiambwa ukweli tunacharuka na kujitutumua wakati tu wa hovyo, kuna kitu kinakosekana. Je ni kitu au vitu gani vinakosekana kwa Afrika kiasi cha kugeuka hovyo...
  4. JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0 - 1 Egypt | U-20 Africa Cup of Nations

    Tanzania 0 - 0 | Egypt | U-20 Africa Cup of Nations https://www.youtube.com/watch?v=ZNdyfIK7yRQ
  5. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore hawezi kuja Tanzania mkajizolea umaarufu. Hishima kubwa aliyopata urusi kwenye Victory Day

    Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika. Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo. Nchi ya Tanzania ni tajiri ila watu ni maskini alafu tunasema mitano tena.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

    Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu. Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa. Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira. Badala ya vijana wengi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi. Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
  8. JamiiForums Tanzania Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua taarifa ya chambuzi uongezaji thamani Madini muhimu Tanzania

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?

    Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi. Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi. Jambo la kujiuliza, hivi...
  14. JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  15. JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania na matajiri wake

    Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo. Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85. Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela. Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui...
  16. JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya misaada ya maendeleo kwa Tanzania toka Ulaya kuanzia 2015-2025 na athari tutakazopata ikiwa itasimamishwa

    Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao. Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
  19. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

    Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar? Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!! Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari? Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…