Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee
Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania
Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye sayari
Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye nyota ambazo zipo...
Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi.
Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni.
Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba masikio wakati waonevu wanawapora wananchi wanyonge, na wale mnaoshangilia utekaji na mateso ya wengine...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali
Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar.
Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo
Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano
Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au Pluto instantly
Battery yake itakuwa na uwezo wa kujaa kwa mda wa dakika 5 na zisizozidi dakika 10
Kwa...
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===
Mamlaka ya...
Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia
Katika jamii nyingi, wasomi hutegemewa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali. Hata hivyo, hali ya mambo nchini Tanzania inaonyesha kuwa sehemu ya wasomi wanachangia kudidimiza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.
Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu...
Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe.
Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa.
Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.
NRNE
Takriban miezi 6 hadi 7 iliyopita, nilikuja hapa jukwaani kuelezea nia yangu ya kuanzisha jambo lenye manufaa katika sekta ya usafirishaji kupitia uzi huu...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya.
Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.