📢 Nafasi ya Kazi: Account Manager (Mid Market)
Je, una uzoefu katika mauzo, usimamizi wa wateja wa biashara (B2B) na kujenga mahusiano ya muda mrefu na wateja? Airtel Tanzania inatafuta Account Manager (Mid Market) mwenye uwezo wa kusimamia wateja wa kampuni za kati, kuongeza mauzo na kutoa...