tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Historia Mpya ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

  2. Historia ya uhuru wa Tanganyika sehemu ya pili

  3. Historia ya uhuru wa Tanganyika 1950 - 1961

    [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Historia Ya Uhuru Wa Tanganyika |1950 - 1961 | Mohamed Said | Shemu Ya Kwanza [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Tutaaza Saane na nusu Usiku Huu, LIVE usikose Sehemu ya Kwanza
  4. P

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud alitoa hotuba ambayo sehemu ninayoinukuu anasema, "Kwenye serikali hiihii ambayo...
  5. Sheikh Husein Juma, vice president wa United Tanganyika Party (UTP)

    SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP) Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mtu kuitwa kuwa ni UTP ni sawa la leo kuitwa gaidi. Picha hiyo hapo chini ya kwanza inamuonyesha Mzungu Brian Willis aliyeletwa Tanganyika na Conservative Party. Hapa anasimamia...
  6. Kipindi maalumu kuhusu harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika

    KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tangayika kati ya 1954 - 1961. Mohamed Said ameeleza yale mengi ambayo wanahistoria...
  7. F

    Tanganyika na Uhuru wa Zanzibar

    Nimewasikia watu wakisema yafuatayo kuhusu Zanzibar: 1. Zanzibar inapaswa kupata uhuru kamili kutoka kwenye utawala wa Tanganyika. 2. Tanganyika ipate Katiba yake. Ninachojiuliza ni kuwa Zanzibar itakuwaje nchi huru kamili ndani ya Muungano? Nchi zikiungana si kila moja zinapoteza sehemu ya...
  8. I

    Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

    akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi? Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima. hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini...
  9. Harakati za kudai uhuru wa Tanganyika

  10. Tanganyika Packers: Eneo la Umma, palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, sasa pana Kanisa! Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

    Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake? Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha. Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
  11. Mliotoka Lake Tanganyika kwa watani msaidiane kuzikana pia

    Kilichoonekana leo lake Tanganyika ni dhahiri hakukua na tahadhari yoyote iliyochukuliwa. Mlioenda uwanjani na mliokula 🦆 kwenye 🚆 mjipange kuzikana na kuku wa kideri. Delta haiwezi kuwaacha salama.
  12. R

    Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  13. M

    Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

    1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi kumeigharimu Simba SC. 2. Kumuanzisha Clatous Chama ambaye bado Kichwa chake kimetawaliwa na Kumpoteza Mke...
  14. Timu ya Tanganyika, Gossage Cup 1961

    TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961 Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha. Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii: Kutoka kushoto: Henrick Martin, Hemed Seif, John Lyimo, Washokera, Yusuf Mwamba, Yahaya Mbike, mbele ni Aziz Abdullah...
  15. Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
  16. N

    Video ya Uwanja wa lake Tanganyika matayarisho ya fainali ya shirikisho

    si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
  17. Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo. Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
  18. Laiti Rais samia angeijua historia ya soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea. Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
  19. Historia ya uundwaji wa Mikoa Tanzania

    Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961. 1. Jimbo la Kati 2. Mashariki 3. Ziwa 4.Kaskazini 5. Nyanda za juu kusini. 6. Jimbo la Tanga. 7. Nyanda. MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:- 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Pwani . 4. Dodoma 5.Tanga 6. Kigoma 7. Mara 8. Mbeya 9...
  20. Tusome historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…