Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
Anonymous (66bb)
Thread
kukatika
mwaka
tanesco
transfoma
umeme
umeme kukatika
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu?
Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Huduma zilizotolewa ni pamoja...
Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu.
Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli.
Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati.
Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi...
Wakuu nachukua nafasi hii kuwapongeza TANESCO kwa kuweza kupiga hatua ya ukuaji kwa kuhakikisha licha ya ukame na vipindi tunavyopita bado wamekuwa wakitupa umeme pasipo kukatika masaa 24/7.
Muda huu wana Dar tungekuwa huku tunalia na maji huku tunalia na TANESCO. Wote tunakumbuka vipindi vya...
Habari ya wakati huu!
Mimi ni miongoni mwa Raia mwema ninayepata huduma ya Umeme kupitia TANESCO maeneo ya Nzuguni A katika eneo la Mtaa wa Nunduru. Kutokana na utanukaji wa Jiji la Dodoma huduma ya Umeme imekuwa na changamoto kubwa ya low Voltage.
Pindi Giza linapoingia umeme unakatika na...
1. Tulifanya kazi kipindi cha lockdown kwa sababu ya uchaguzi, tukajitoa muhanga kulitumikia shirika huku tukivuka mabomu na risasi za moto. Lakini cha kushangaza hadi wa leo hatujalipwa hizo Standby Allowances ilhali ilikuwa ni sharti la Serikali ya kwamba watu wote wasitoke nje kwa siku sita...
Ni ukweli usiopingika kuwa hizi mita mpya ni unyonyaji sana kwani umeme haukawii kuisha.
CCM ni wanyonyaji sana kwa watanzania.Kwakweli inahitajika nguvu kubwa na mapambano kuwaondoa hawa wanyonyaji wa watanzania.
Halafu hawarudishi units zilizokuwepo awali.
Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV.
Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco.
Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali.
Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
(i) Bw. Fortunatus Makore Magambo ameteuliwa...
Haki na amani iwe kwenu.
Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9?
Unarekebishaje miundombinu usiku?
Unakoseje nishati hii 12hrs.
TANESCO acheni uhuni, wengine umeme unamaana kubwa sana kuliko ujinga wenu wa kudhani mnahahujumu...
Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku maisha yamekua magumu kwa wananchi ambao asilimia kubwa ni wajasiriamali. Hamna taarifa kama ni mgao wa umeme au ni upumbavu wa Watendaji wa Tanesco
Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.