tamisemi

  1. JamiiForums Tanzania OMBI KWA TAMISEMI

    Habari za asubuhi ndugu watanzania moja kwa moja niende kwenye mada najua humu wapo wadau wengi na ni matumaini yangu ujumbe huu utawafikia wahusika, hii ni mahususi kwa ajira mpya za mwaka huu, naona serikali inapata ugumu sana kulipa pesa za kujikimu sijajua shida ni nini lakini naamini ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI toeni vibali vya uhamisho

    Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo? OR TAMISEMI
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

    Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Akizungumza leo...
  5. JamiiForums Tanzania WIZARA ya elimu ingetoa Muongozo unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba

    Kama Mzazi WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa Sikukuu zoote watoto baadhi ya Shule wanatakiwa kwenda Shuleni Na hata kesho,watoto hao badhi...
  6. JamiiForums Tanzania Gambo una hoja, ila hujiamini-Chini ya Mchengerwa, TAMISEMI imekuwa Wizara ya ovyo

    Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE! Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua. Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge waitaka Wizara ya fedha iipe fedha Wizara ya TAMISEMI itekeleze majukumu yake

    WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Dodoma waipa Tano bajeti ya TAMISEMI

    Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7. Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  10. C

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rudisheni utaratibu wa mwanzo kuwapigia walimu vituo vya kazi ninyi wenyewe huko kwa sasa walimu wote wana vimemo,wanaishia mjini

    Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku...
  11. JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

    # Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Njaa na madeni kwa vibarua Tanesco Shinyanga mjini

    Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha maslahi yao njaa na madeni zinawaumiza ukizingatia ni kazi ngumu wakipitishwa tandale kwenye makande...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa atoa miezi miwili kwa mkandarasi kukamilisha jengo la TAMISEMI

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
  16. JamiiForums Tanzania Tamisemi inavyoua ndoto za vijana

    Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia. Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi. Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine. Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani...
  17. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Yataka Ulinzi wa Daraja la Mawe Garkawe

    KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE OR-TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania OR-Tamisemi kuchelewa kuita waombaji wa ajira kufanya usaili shida kubwa ni nini?

    Habari...kuna ajira zilitangazwa mwaka jana tarehe 3.8.2024 Za wasaidizi wa hesabu daraja 1 Sasa ni miezi sita hawajaita watu kufanya usaili shida kubwa hapo ni nin, wenye ujuzi wa haya mambo tufahamishe je, nimuda gani waombaji wanaweza kuitwa kwenye usaili baada ya kuomba au haina...
  20. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa. Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…