tamisemi

  1. A

    KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  2. Roving Journalist

    Kamati ya TAMISEMI yapitisha Randama ya Bajeti ya OWM - TAMISEMI

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa Mwaka 2026/27 ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI)na kuelekeza itakapopitishwa na Bunge utekelezaji wake ukalenge kuwaletea...
  3. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  4. upupu255

    SI KWELI Taarifa ya TAMISEMI, ikiwataka watumishi wakabadilishe majina

  5. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yaahidi kushirikiana na TAMISEMI kusimamia Elimu Msingi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
  6. PAYE

    Mwigulu ataka TAMISEMI 'wakate safari na Chai' kujenga madarasa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kwamba ifikapo mwisho wa Februari 2026 awe amefikisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Imani iliyopo Mkata Magharibi, kutokana...
  7. Enthusiastic

    KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  8. JanguKamaJangu

    Prof. Shemdoe: Madiwani kuweni wanyenyekevu kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  10. A

    KERO TAMISEMI upande wa LGA hawajali maslahi ya watumishi wao

    TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa. Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya wasimamizi wa miradi na inawifikia wahusika ambazo asilimia kubwa ni wahandisi. Kwa upande wa LGA miradi...
  11. USSR

    Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  12. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. jiwe angavu

    Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  14. HeCityhunter

    TAMISEMI tangu Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka leo Kuna account unaambiwa user account is locked

    Tamisemi tokea Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka Leo hii Kuna account ukiingia unaambiwa user account is locked Ukiwapigia simu na wao hawaelew tena mmoja kaniambia tafuta namna ya kufanya maana sisi huku hatuna shida.
  15. A

    KERO Walimu tulioajiriwa chini ya Mradi wa GPE-TSP unaosimamiwa na TAMISEMI tuna hali mbaya kimaslahi, hatujalipwa

    Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025. Walimu wapatao 544 tuliripoti kwa awamu ya kwanza katika vituo tulivyopangiwa, na kuanza majukumu...
  16. A

    TAMISEMI inahitaji kufumuliwa

    Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi. Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
  17. blogger

    Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  18. hp4510

    Msaada wa mwanaJF anayefanya kazi Wizara ya TAMISEMI

    Wakuu poleni na kazi Naitaji msaada wa mwanaJF yeyote ambae anafanya kazi wizara ya TAMISEMI Nina Jambo langu moja nahitaji msaada wa kujua. Naomba anipm kama yupo.
  19. tonicimmobility

    TAMISEMI yawataka watumishi kuripoti kazini saa 1:30 asubuhi

    Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Amesema watumishi wanapaswa kufika...
  20. H

    Ushauri kwa Wizara ya ardhi ili kupunguza migigoro ya ardhi

    Kumekuwepo na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wananchi kununua maeneo ambayo yameuzwa kwa watu wengine, kuuziwa maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum (open spaces). Hali hii inatokana na ugumu wa wananchi kupata taarifa sahihi za umiliki wa maeneo hayo kupitia ofisi za ardhi, ambapo...
Back
Top Bottom