takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukaguzi wa vyama vya ushirika: TAKUKURU yabaini kasoro na kufanikiwa kurejesha fedha jumla ya shilingi bilioni 4 kutoka kwa watuhumiwa

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 22, 2020 TAKUKURU YAFANYIA KAZI RIPOTI YA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA: YABAINI KASORO NA KUFANIKIWA KUREJESHA FEDHA JUMLA YA SHILINGI BILIONI 4 KUTOKA KWA WATUHUMIWA Ndugu Waandishi wa Habari, Awali ya yote...
  2. TAKUKURU Arusha yawapandisha kizimbani 22

    Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani watuhumiwa 22 kwa tuhuma mbalimbali za vitendo vya rushwa katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2019. Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Arusha, Frida Wikesi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
  3. Ofisa feki wa TAKUKURU akamatwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Ilala Dar es Salaam, inamshikilia Hussein Hassani (43), kwa kosa la kujifanya Ofisa wa Takukuru na kutapeli wananchi. Mbali na kujifanya Ofisa wa Takukuru, Hassani ambaye ni mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, pia alighushi...
  4. TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Heshima kwenu wana jamiiforums, Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja. Nimeona ni vyema niliseme...
  5. Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK) mbaroni kwa kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50

    Picha: Renatus Muabhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
  6. Kashfa ya Rushwa: David Kafulila alalamikiwa na Wazabuni kwa TAKUKURU

    Wakuu, Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya na Songwe wailalamikia ofisi ya RAS Songwe na moja kwa moja wanamtupia lawama Katibu Tawala Mkoa huo Kafulila kwamba amekuwa akiwaomba Rushwa endapo ukikataa basi kama ulikuwa mzabuni unanyang’anywa tenda. Inadaiwa hivi Karibuni, Serikali walitangaza Zabuni...
  7. Rushwa ya ngono sasa ni uhujumu Uchumi, ukikamatwa hakuna faini, ni kifungo miaka 20

    Habari wakuu, Leo TAKUKURU imefanya Kikao na Wadau wa habari kuhusu kampeni ya kupambana na rushwa ya ngono ijulikanayo kama Vunja Ukimya Kataa Rushwa ya Ngono. Akiongea katika kikao hicho, Mwasheria wa TAKUKURU, Imani Nitume amesema kwamba kifungu Cha 7 cha PCCA kimeainisha majukumu ya...
  8. TAKUKURU pitieni Mkapa English Medium ya Mbeya imetawala rushwa

    Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili. Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo. Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
  9. TAKUKURU yawafikisha sita mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, leo Jumatano Novemba 20, imewakamata na kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara sita wakiwamo raia wa kigeni kutoka nchini China kujibu mashtaka ya Rushwa na uhujumu uchumi. Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi)...
  10. Arusha: TAKUKURU yamtia mbaroni muweka hazina wa kikundi aliyedai fedha zimepotea kishirikina

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
  11. Tetesi: Rushwa Mahakama Kinondoni , TAKUKURU wanyoosha mikono juu

    Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS. Mahakama hiyo ambayo imeongezewa mahakimu wapya na sasa ina mahakimu 16 imekuwa kinara wa Rushwa Kwa Tanzania ikifuatiwa na...
  12. TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) leo imefanya maongezi ya kimkakati na Wadau mbalimbali wakiwemo Sekta Binafsi, Sekta za Umma, Asasi za Kiraia, Taasisi za Dini, Vyombo vya Habari, Viwanda vya Uchapaji na Uchapishaji, Kampuni za Simu, Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri...
  13. TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa. Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…