Tetesi: Rushwa Mahakama Kinondoni , TAKUKURU wanyoosha mikono juu

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
7,988
2,000
Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS.

Mahakama hiyo ambayo imeongezewa mahakimu wapya na sasa ina mahakimu 16 imekuwa kinara wa Rushwa Kwa Tanzania ikifuatiwa na ILALA/Kinyerezi .

Mahakimu hao wa Mahakama wamekuwa na mbinu tofauti za kupokelea "mzigo"

1. Injunction:
hapa lazma utoe fungu ili upate zuio hasa kama nyumba yako inakaribia kuuzwa ama kubomolewa na madalali wa mahakama.
hapa utapata

2. TRAFFIC CASES:
Kesi za Traffick lazma rushwa ianzie milioni moja, Ipo hivi, Mshitakiwa anampta Polisi/ Traffick 200,000/- ili akuandikie shitaka dogo, State Atorney/wakili wa Serikali atataka 300,000/- ili kuhakikisha kesi inaisha ndani ya muda mfupi na Hakimu atataka 400,000/- ili kwenye uamuzi badala ya ku-cancel driving license basi atatoa adhabu ya faini ya Tshs 20,000/=.
Mbinu zitumikazo ni kesi hizi kuletwa mchana wa saa saba mpaka saa nane hiv, na hapo watu wanakuwa wachache.

3 DHAMANA/BAIL
Hapa Askari magereza hula hela kidogo, haimu anakla kidogo, karani wa mahakama naye anakula yake, na askari wa kawaida anakula yake.
Hili ni eneo ambalo kila mwananchi anayekuwa na kesi hasa kama hakupata police bail basi ndugu zake huchanga hela za kwenda kumtoa ndugu yao.

4.NOLLE PROSEQUI:
Hapa ni eneo mbivu. Mawakiliwa serikali ndipo wananunulia subaru na kujengea nyumba.
Kwa kesi za Armed robbery , Nolle ni kuanzia milioni 3 na kesi a kawaida nolle ni milioni moja.
hapa anachukua wakili wa serikali na yeye anamgaia hakimu.

5. TRANSFER OF CASES:
Viapo, mahakimu hutumia mihuri ya mahakama kupiga kwenye mikataba na vipo, affidavits and deed poll ambapo sheria imewakataza na iwapo wataona ulazima wa kufanya hivyo basi watoe risiti ili serikali ya Pombe ipate hela ya kujenga Stigla.

6. KUPATA NAKALA ZA HUKUMU/MWENENDO:
kama huna hela kila ukifuatilia unambiwa faili lipo pool, kama una hela linawekwa juu ndani ya siku moja unahukua uamuzi wako.

7. SUMMONS:
Ili kupata summons lazma 30000 ikutoke.
Hapa ni kwasababu karani anajifanya yupo busy na kila mda atakuzungusha mpaka ukimpa ya ku-brashia viatu ndipo atakupatia.

8. KUITWA KESI.

Mtindo mpya wa makarani wanaangali kesi zinazzotoka kwenye law firms kubwa, wanakuita wnakwambia kama unataka kesi yako iitwe ya kwana umpe fungu fulani, la sivyo utaingia asubuhi utike jioni.

OMBI:
SErikali iwashirikishe TISS, mawakili binafsi waingizwe TISS, wapewe mafunzo wawakamate watoaji na wapokeaji rushwa.

NB: Tusiwataje wale waheshimiwa mahakimu na State Attornyes kwa Majina, tuache vyombo viwashughulikie lakini pia wewe kama raia, tunajua rushwa za siku hizi zinaachwa kwa wale wamama wa M-pesa/vibandani kwahiyo TAKUKURU hta watumie kamera hawakamati mtu, na wale wauza chai wanao ingia mahakamani ndio wanapenyeza rushwa.

Utajiri wa mahakimu hauendani na vipato vyo vya 1.2 m kwa mwezi.
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
3,948
2,000
Yanaonyoroshwa sasa ndio yalikua majizi na mapiga dili alisikika mlevi mmoja akisema
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
3,983
2,000
Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS.

Mahakama hiyo ambayo imeongezewa mahakimu wapya na sasa ina mahakimu 16 imekuwa kinara wa Rushwa Kwa Tanzania ikifuatiwa na ILALA/Kinyerezi .

Mahakimu hao wa Mahakama wamekuwa na mbinu tofauti za kupokelea "mzigo"

1. Injunction:
hapa lazma utoe fungu ili upate zuio hasa kama nyumba yako inakaribia kuuzwa ama kubomolewa na madalali wa mahakama.
hapa utapata

2. TRAFFIC CASES:
Kesi za Traffick lazma rushwa ianzie milioni moja, Ipo hivi, Mshitakiwa anampta Polisi/ Traffick 200,000/- ili akuandikie shitaka dogo, State Atorney/wakili wa Serikali atataka 300,000/- ili kuhakikisha kesi inaisha ndani ya muda mfupi na Hakimu atataka 400,000/- ili kwenye uamuzi badala ya ku-cancel driving license basi atatoa adhabu ya faini ya Tshs 20,000/=.
Mbinu zitumikazo ni kesi hizi kuletwa mchana wa saa saba mpaka saa nane hiv, na hapo watu wanakuwa wachache.

3 DHAMANA/BAIL
Hapa Askari magereza hula hela kidogo, haimu anakla kidogo, karani wa mahakama naye anakula yake, na askari wa kawaida anakula yake.
Hili ni eneo ambalo kila mwananchi anayekuwa na kesi hasa kama hakupata police bail basi ndugu zake huchanga hela za kwenda kumtoa ndugu yao.

4.NOLLE PROSEQUI:
Hapa ni eneo mbivu. Mawakiliwa serikali ndipo wananunulia subaru na kujengea nyumba.
Kwa kesi za Armed robbery , Nolle ni kuanzia milioni 3 na kesi a kawaida nolle ni milioni moja.
hapa anachukua wakili wa serikali na yeye anamgaia hakimu.

5. TRANSFER OF CASES:
Viapo, mahakimu hutumia mihuri ya mahakama kupiga kwenye mikataba na vipo, affidavits and deed poll ambapo sheria imewakataza na iwapo wataona ulazima wa kufanya hivyo basi watoe risiti ili serikali ya Pombe ipate hela ya kujenga Stigla.

6. KUPATA NAKALA ZA HUKUMU/MWENENDO:
kama huna hela kila ukifuatilia unambiwa faili lipo pool, kama una hela linawekwa juu ndani ya siku moja unahukua uamuzi wako.

7. SUMMONS:
Ili kupata summons lazma 30000 ikutoke.
Hapa ni kwasababu karani anajifanya yupo busy na kila mda atakuzungusha mpaka ukimpa ya ku-brashia viatu ndipo atakupatia.

8. KUITWA KESI.

Mtindo mpya wa makarani wanaangali kesi zinazzotoka kwenye law firms kubwa, wanakuita wnakwambia kama unataka kesi yako iitwe ya kwana umpe fungu fulani, la sivyo utaingia asubuhi utike jioni.

OMBI:
SErikali iwashirikishe TISS, mawakili binafsi waingizwe TISS, wapewe mafunzo wawakamate watoaji na wapokeaji rushwa.
Asante mkuu..
Wewe jukumu lako kama raia mwema umetekeleza.
Chakushangaza vyombo vya ulinzi na usalama vinahangaika na wapinzani tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom