taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wamefuga Tumbo, Wanasema Taifa Limezembea! 😂

    😄 "Miaka 60+ ya uhuru bado tunajadili barabara, maji na umeme, halafu wewe una miaka hiyo hiyo 60+ unalalama tu😈😈. Basi tuambie, kati ya Taifa na tumbo lako, nani aliyefanya uzembe? Au ulikuwa unahifadhi umeme kwenye tumbo mpaka ukasahau kuusambaza?" — Alloyce, P.R.
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sio dhambi Serikali Kushirikiana na Mahakama

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  5. JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefura hakuna Mtanzania atakeyegongewa mlango kulilipa

    Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya Tano B chini ya Rais aliyepatikana kwa mujibu wa katiba,tumeona mambo mengi makubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

    Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana. Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  8. JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  9. JamiiForums Tanzania Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  10. JamiiForums Tanzania Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anapenda kweli Taifa, inabidi afanye hivi kwa manufaa ya taifa

    Bila kufanya haya. Mizimu ya Magufuli itakupata Mama nakupa ovyo tu. Tusije kulalama hapa tenda haki uondoke na heshima yako 1. Kutoa hotuba ya kitaifa kwa hali halisi ya taifa 2. Kuomba Msamaha kwenye hotoba hiyo kwa Kenya na Uganda kwa wanaharakati na nchi zao kwa ujumla wake 3. Kesi ya Lissu...
  12. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa (Tanganyika na Zanzibar)

    Habari watanzania wenzangu, Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu). Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote. USHAURI WANGU. 1. Uandaliwe...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu Bajeti Kuu, mmesikia tu deni la Taifa na ufafanuzi wa bajeti ya Tr 56?

    Habari za mchana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya. Kubwa ninalotaka kulisemea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi, deni la taifa amelipaisha hadi kufikia Tsh Trilioni 107

    Barabara , kajenga Mama Dpw kawaleta Mama Flyover.... mama Mwendokasi...mama Shirika la ndege la Zanzibar, Mama Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui Ngorongoro kote kule ni Mama Deni kalipaisha kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  16. JamiiForums Tanzania Professa Tibaijuka ashtushwa na kasi ya ukuaji wa deni la taifa

    " Je deni la Taifa ni himilivu kweli? Kuna vigezo viwili vya kuangalia. 1. Kwanza ni mtazamo wa mapato ya serikali yanayotumika kulipia Deni. Hapa tumelemewa kwani hadi Juni 2024, Tanzania ilitumia asilimia 44.3 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya kulipia deni la umma ikivuka kabisa kiwango cha...
  17. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Liitwe deni la mama, na sio deni la taifa

    Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda. Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaambiwa uchumi umekuwa na makusanyo ya mapato ya ndani yameongezeka sana, lakini deni la taifa limeongezeka maradufu. Deni litalipwaje sasa?

    Kuna vitu na mambo ukiyatafakari yanaumiza na kutia hasira mnoo. Hii nchi ina laana? Nini logic ya deni la taifa kuzidi kuongezeka kwa speed ya ajabu kuliko kipindi kingine chochote na wakati huo huo uwezo wetu wa kinchi kuwa na mapato na kukua kiuchumi ukielezwa kuwa juu kuliko kipindi kingine...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa ndo wabunge wetu wanaojadili bajeti ya taifa 2025/2026

    Wasalaam Watanganyika tunapodai katiba mpya tunaebuisha hii aibu isiendelee kulikumba taifa. Angalau mtanganyika anaegombea ubunge awe na degree moja na sio sifa ya kujua kusoma na kuandika. Hao ndo wabunge wetu wanaojadili bajati ya serikali 2025/2026, unategemea nn? Ndo maana wengine...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…