taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  5. JamiiForums Tanzania Utalii wa Faru weusi waongeza idadi ya watalii hifadhi ya Taifa mkomazi

    Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ni moja ya Hifadhi tano zilizopo mikoa ya kanda ya Kaskazini ambazo ni Tarangire ,Manyara,Arusha na Kilimanjaro . Hifadhi hii ya mkomazi inaunganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga ikiwa na ukubwa wa Kilometa za mraba 3245 ikiwa umbali wa Kilometa 112 kutoka Moshi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  7. JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  8. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/dB0Fte5XLTg?si=1ELIsna7kObFGKwO
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna sahihi ya GenZ yeyote kwenye mikataba mibaya inayolitafuna taifa, tujilaumu sisi mababa zao kwa mmomonyoko wa maadili

    Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana kwamba tabia zao zimesababisha hali tuliyo nayo kwa sasa. Kimsingi vijana wa 2000 bado nawaona watu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen Z katika kusimamia Taifa 10 yrs later?

    Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology, Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza kuu la chadema taifa kufanyika APRILI.2027

    Za ndani kabisa zinadai, ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao. Hii ni kimaanisha zile pesa za tone tone zilizochangwa zimetumika kwa matumizi mengine kadiri ilivyoonekana...
  12. JamiiForums Tanzania KIMENUKA: WANAHARAKATI WATAKA CHADEMA IFUTWE KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

  13. JamiiForums Tanzania Ameanza kukata moto: Haki huinua taifa

    Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto. Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira. Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa. Kwasasa Portugal itakua timu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Madaraka: kuna tofauti kati ya taifa na serikali!

    Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
  17. JamiiForums Tanzania Wadau wa Sekta ya Tumbaku waichambua Dira wa Dira ya Taifa 2050 na Mpango Kabambe wa Kilimo 2050

    Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050). Kikao hicho kimewakutanisha...
  18. JamiiForums Tanzania Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi

    Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa. Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani. Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi. Binafsi siwezi kumuunga...
  19. JamiiForums Tanzania Karia na wenzako kama hamuwezi scouting ya timu ya Taifa ya kupata Professional players nipeni tender niwaletee wachezaji Quality wakitanzania

    Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!! Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…