taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  2. R

    Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

    Salaam! Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika, Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea, Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu. Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
  3. K

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
  4. Huku mtaani kwetu, Gwajima kaibuka kuwa shujaa wa Taifa

    Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani. Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
  5. Visungura vinaua Taifa

    Kijana saa 12 asubuhi tayari macho mekundu kisungura kimeshamchapa. Mpaka saa 6 mchana anaongea pumba tupu. IGP intelejensia yako miaka 15 mbele Taifa linaonekana liko wapi? Viongozi mnaacha watoto wa maskini wapagawe kwa visungura ili watoto wenu wakirudi toka ULAYA wagawane majimbo kirahisi?
  6. Okoa taifa hiphop movement

    Amani iwe kwenu, Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya sasa ya nchi tafadhali I upload humu zote zitasikilizwa kwa ajaili ya matumizi ambayo yatakuwa na...
  7. Tuweke maombi yetu wana JF dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji mpaka wahusika wateketezwe

    Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano. Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji. Wahusika waharibiwe.
  8. Rais wa taifa kubwa akipewa makavu hadharani kwenye TV, lakini maisha yaendelea...

    Trump, Rais mjinga na mdhaifu zaidi katika historia ya Marekani... https://www.youtube.com/watch?v=BwvBFljn_vk Nakulilia Tanzania!
  9. Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

    Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia. Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi...
  10. Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  11. W

    PreGE2025 Sheikh Issa Ponda: Tunakuwa na taifa la namna gani kama mtu anachukuliwa tu nyumbani kwake na kwenda kuuliwa?

    Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani kama matukio haya yanaendelea na wanaofanya hivyo wana zana kabisa. Aidha ameeleza kuwa matukio...
  12. R

    Tafakari: Taifa linaloendeshwa kwa ujana wa bandiko na umbea—tumwangalie mtoto wa 2050

    Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
  13. U

    Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
  14. Kwanini CHADEMA kinaomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kukijumuisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa kihistoa Oktoba 2025 sasa?

    Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
  15. Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  16. CCM mmetukosea kwa aina ya viongozi mnaolipatia Taifa. Historia itawahukumu.

    Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa. Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena...
  17. R

    Watawala wetu liokoe taifa na maangamizi, watu wanachuki na haya yanayoendelea, wanaogopa kusema

    Ukweli ni huu: 1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala. 2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya...
  18. CHADEMA Wajitafakari: Siasa za Kudandia hoja haziwajengi wala kujenga Taifa

    Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
  19. Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi. Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
  20. Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…