Igwe Watanzania.
Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana.
Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10.
Wamejikusanyia mafedha kutoka deals za nchi yetu, wameshika vyombo vya dollar, wameweka watu wao kwenye vyombo vya...