taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya nchi kutulia itabidi Habib Mchange na kundi lake watueleze hii project ya kuliingiza taifa kwenye chuki za udini amepewa na nani

    Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
  3. JamiiForums Tanzania Taifa Stars wamejiandaa kurudi?

  4. JamiiForums Tanzania INEC fanyeni jambo Taifa stars tushinde AFCON dhidi ya Tunisia

    Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
  5. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa naomba liwe kanga kwa mtindo wa uvaaji kama wenzetu Hindu

    Habari Tanzania ! Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama. Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa. Asante.
  6. JamiiForums Tanzania Pawepo na Kampuni ya Vijana Ujenzi Taifa: Vijana wataajiriwa zaidi ya 5,000,000 nchi zima

    Habari Tanzania ! Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza. Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika kwenye sekta ya ujenzi Taifa. Itungwe Sheria ya usimamizi miundombinu na ujenzi majengo Taifa. Pia...
  7. JamiiForums Tanzania John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  8. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo tunakukumbuka kwa ushujaa ulioonyesha kwa ajili ya Taifa hili

    Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli. Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia. Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia. Rais mstaafu Kikwete kulazimisha...
  9. JamiiForums Tanzania Kuifuta CCM sio kuondoa matatizo ya taifa hili. Hiyo ni propaganda yenye uongo Mkubwa

    KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa. 2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  11. JamiiForums Tanzania Simon Msuva aifikia rekodi ya Mrisho Ngassa, afikisha Magoli 25 Taifa Stars

    Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa. Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini hasa Israel imelitambua taifa la Somaliland?

    Wachambuzi: ISRAEL ILIITAMBUA SOMALILAND HIVI KARIBUNI, LAKINI NI NINI? Kwanza, ufafanuzi wa haraka: Somaliland sio Somalia. Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama chombo tofauti, kinachojitawala tangu 1991, baada ya serikali kuu ya Somalia kuanguka. Ina historia tofauti ya kikoloni, taasisi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

    Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
  14. JamiiForums Tanzania Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
  15. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa stars ni kama hawana lishe na walegevu mno

    Binafsi ni mpenzi wa football Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6 Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
  16. JamiiForums Tanzania Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

    Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

    Sina mengi sana tuko bar hapa mitaa ya Uyole tunaowashangilia Naigeria wakome na makonda wao ni kipigo cha Mbwa mwizi
  19. JamiiForums Tanzania Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

    Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale. Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea. Asante.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…