The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?
Taifa letu tutazidi...
Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia.
Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish
Nchi...
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi.
Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
Mungu ni mwema wakati wote.
Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu"
Kila zama na kitabu chake!
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka midfielder Lawrence Juma have tested Covid-19 positive and as a result, they have not been included...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote.
Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya.
Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake.
=====
JAMES...
Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama kocha mkuu.
Sasa najiuliza nani kocha mkuu wa timu yetu wakati tuliambiwa ni Kim Poulsen?
Binafsi nilifuatilia mchezo baina ya Tanzania na Guinea ya Ikweta. Niseme kutoka rohoni hatuna timu ya Taifa. Mchezo waliocheza siku ile ni mbovu sana. Naishauri TFF kwanza tujitoe kwenye michezo ya Kimataifa. Tusuke timu kwanza ndipo turudi kwenye mashindano. Rais wa TFF ajiuzulu na tangu...
ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU.
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
Habari zenu wakuu JF.
Kwanza kabisa nitoe pole zangu watanzania wenzangu kwa upande wa bara na visiwani na kwa Wote walioguswa na Msiba Wa Raisi wetu John Joseph Pombe Magufuli.
Ni wazi kuna mambo mengi ameyafanya ambayo kwa namna moja ni sawa na anastahili pongezi kwa jinsi Mungu alivyomtumia...
Wengi wetu niwaumini wa dini mbalimbali na tumefikia hatua kila jambo baya au zuri tunamtaja Mwenyenzi Mungu, nipongeze kwa ilo.
Lakini ni ukweli usiopingika kwamba tunamkosea sana Mwenyenzi Mungu na tunaweza tukawa tunamkasirisha sana kwa matendo tunayoyafanya hasa kwakuyafanya maisha yetu...
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza...
Habari wakuu,
Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika kusifu pamoja na kuendesha hizi propaganda zinazoendelea kwa kutumia vyombo vya habari.
Ukweli ni...
TUMETOLEWA RASMI!!!!
Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars
HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA
1. CHUPU CHUPU
2. MANULA ANATUSAVE
3. MWAMBA.
KIPINDI CHA PILI
ASANYE MANULA
VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA
MSUVA...
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
Je, Taifa Lina mababa wawili?
Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Miaka ya tisini nikiwa bado kijana mchakalikaji nilikuwa mtu wa kusafiri sana na katika safari zangu nje ya nchi nilikuwa na kutana na raia wa nchi mbalimbali na mojawapo ni nchi ya Kenya. Siku moja nilikuwa na napiga story na Wakenya juu ya Rais wa Kenya wakati huo Daniel Arap Moi. Na mimi...