Joshua Onyango na wenzake (3) wakutwa na COVID-19 Timu ya Taifa Kenya. Washindwa kucheza mechi dhidi ya Togo leo

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,532
2,000
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka midfielder Lawrence Juma have tested Covid-19 positive and as a result, they have not been included in the squad to play the Sparrowhawks" kwa wale wanaojua kingereza nimetuma hiyo kama nilivyoipata kutoka Kenya... na hovuyo kukosekana katika kikosi kilichokuwa kinacheza jioni hii dhidi ya Togo.

Tuombe apone mapema asikose mechi ya Jumamosi dhidi ya As Vital
 
Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
914
1,000
Hizo figisu tu, huko Malawi nako Eng Thadeo lwanga alikutwa na Covid lkn baada ya vuta nikuvute vipimo vikarudiwa na akapatikana akiwa Negative ko usishangae Onyango akipimwa tena kesho na akawa Negative
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,690
2,000
Hizo figisu tu, huko Malawi nako Eng Thadeo lwanga alikutwa na Covid lkn baada ya vuta nikuvute vipimo vikarudiwa na akapatikana akiwa Negative ko usishangae Onyango akipimwa tena kesho na akawa Negative
Lakini hao Togo kwenye group wameshatoka ndo wa mwisho wana points 2 ,Sasa figisu za nini wakati washatolewa
 
Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
914
1,000
Lakini hao Togo kwenye group wameshatoka ndo wa mwisho wana points 2 ,Sasa figisu za nini wakati washatolewa
Tujipe muda tuone vipimo vikirudiwa tena vitatoa majibu gani ..swala lakuwa wamwisho kwene group haikufanyi kukaa kinyonge siunaona Tz jana tumemfurusha mtu moja bila japo kwa point hizo hazitupeleki popote
 
Mazaya

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
699
1,000
Tutapambana bongo aje negative hata kama anayo hatutaki ujinga sisi Kikubwa tumefungwa AS Vita kwanza!
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
775
1,000
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka midfielder Lawrence Juma have tested Covid-19 positive and as a result, they have not been included in the squad to play the Sparrowhawks" kwa wale wanaojua kingereza nimetuma hiyo kama nilivyoipata kutoka Kenya... na hovuyo kukosekana katika kikosi kilichokuwa kinacheza jioni hii dhidi ya Togo.

Tuombe apone mapema asikose mechi ya Jumamosi dhidi ya As Vital

Mechi ya Simba Vs Vita lazima acheze labda tu akutwe na shida nyingne kwasababu vipimo vinafanywa na mamlaka ya nchi yetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom