Ndugu zanguni habari za asubuhi.
Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda.
Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la Jiwe.
Hali ni tete. Sio polisi sio Raia. Sio mtuaji sio mteuliwa. Amani, Umoja, utulivu, heshima...