taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  3. JamiiForums Tanzania Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

    Niaje waungwana. Kama kawaida, leo nimekuja kutoa somo kamili kwa wale wayahudi uchwara wa Tandale kwa Mtogole, wasiojua nguvu halisi ya Iran katika miaka iliyopita, iliyopo na ijayo. Bila kuongelea kuhusu dola la Iran (Persia Empire) ambayo ilitawala eneo zima la Mashariki ya kati kabla hata...
  4. JamiiForums Tanzania CCM Mnapoteteleka na Taifa linateteleka, nini kifanyike!?

    CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa. Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni vile tu mmeshika mpini na wengine wameshika kwenye makali... na ukata huu wa watu makini(competence)...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  6. JamiiForums Tanzania "Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

    Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio? King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani? UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu? Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli...
  7. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee: Liundwe Baraza la Taifa la Vijana kuchochea MAENDELEO na UZALENDO

    Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  10. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Kihongosi, Msigwa, na Makonda ni virusi kwa Chama, Samia na Taifa

    Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, kuna siku isiyo na tarehe watakuja kuliponza taifa. Kazi yetu ni ndogo sana, kusema, kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ni tunu ya Taifa

    Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza. Hotuba ya warioba...
  13. JamiiForums Tanzania Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  14. JamiiForums Tanzania Mstaafu anayelalamikiwa na wanaCCM kuiharibu nchi hakemiwi. Mzee Warioba anayelitakia mema taifa anaonekana mbaya

    Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu. Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba. Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM? Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

    Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm. Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
  16. JamiiForums Tanzania Nani anahitaji kuponywa kati ya Samia na Taifa?

    Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
  17. JamiiForums Tanzania Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

    Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa 1. Ujasusi Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  20. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…