taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  2. Mawaziri mizigo wanaligharimu taifa na wananchi wanyonge wanataabika. Mkuu wa nchi yupo kimya kana kamba haoni. Hili ni tatizo

    Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022. Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo...
  3. Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  4. Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

    Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
  5. Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
  6. Sekeseke la kupanda kwa bei ya mafuta linadhihirisha kuwa sasa tunahitaji katiba mpya ambayo itawapa mamlaka kamili wanachi juu ya taifa lao.

    Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura. Lakini kama taifa...
  7. Kwanini Israel ni Taifa dogo ila linaheshimika na kuogopeka?

    ISRAEL ISRAEL ISRAEL Kila nchi ulimwenguni hasa ZILE kubwa zinajikomba Kwa ISRAEL , hata UMOJA wa mataifa kuna Muda unakuwa na kigugumizi juu ya Mienendo ya ISRAEL . Israel inaogopeka saana na Mataifa mengine kutokana na:- 1. Uwezo wa teknolojia kijeshi na kijamii. 2. Uwezo wa intelejensia...
  8. M

    Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

    Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
  9. M

    Pato la Taifa ni GNP (Gross National Product) au GDP (Gross Domestic Product)?

    Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
  10. P

    Warithi wa viongozi walioshindwa kuliandalia taifa lao warithi wengine kama wao au zaidi

    Nakumbuka miaka ile ya utotoni namna chuo cha uongozi cha kivukoni kilivyokuwa maarufu. Ukipanda pantoni pale feri ndani ya dakika chache umeshafika Kivukoni. Walikuwepo makada halisi wa Chama waliokuwa wakiandaliwa na Hayati Julius Nyerere akishirikiana na wakongwe wengine. Yale yalikuwa ni...
  11. Usalama wa taifa kazi yao nini? Watuambie Panya road ni akina nani?

    Ni kwanini hadi leo tunasumbuliwa na Panya road? Kazi ya Usalama wa taifa ni nini?
  12. Kwa nini sinema ya Taifa inaitwa 'Royal tour'?

    Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
  13. Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  14. Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  15. M

    Njaa ya Chadema imewatoa kwenye mstari. Mbowe anawaza pesa kuliko maslahi ya taifa

    Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli. Chadema wana hali mbaya sana kifedha. Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele hapa nchini. Lakini wameunga mkono na wanasifia bila aibu. Mbowe amefyata mkia kama mbwa koko na...
  16. Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  17. Nimeona bendera za Taifa nusu mlingoti maeneo ya round about za Posta, kulikoni?

    Habari wana JF kama kichwa cha bandiko kinavyosomeka kulikoni bendera nusu mlingoti?
  18. Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo. Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18. NANUKUU: Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
  19. J

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  20. Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

    Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi. Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma. Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…