taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
  2. I

    JamiiForums Tanzania The Top 10 African Countries with the Best GDP Data Quality Ratings in 2023: An Overview by World Economics

    The legitimacy of data, regardless of scale or function cannot be overstated. It is paramount that accurate data is made available to the public and primary stakeholders, in order for development to take place, particularly when it comes to public data. ======= Business Insider Africa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  4. JamiiForums Tanzania Dola Bilioni 1.9 Kuimarisha Gridi ya Taifa Nchini

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne. Makamba amesema hayo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2022/2023 kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Leo zingekuwa zile beki zao Taifa Stars angefungwa

    Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax. ~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri. ~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia ~...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa Stars leo anafungwa na haifuzu Afcon

    Tukutane baada ya mechi Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu. Viva Uganda Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  10. JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Serikali Kuboresha Huduma za Utalii ili Kukuza Pato la Taifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi wa kuwafanya watalii ho kuongeza siku za kukaa nchini na...
  11. JamiiForums Tanzania Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe unaweza ukaitwa timu ya taifa ila ukawa unatumika kama Comedian

    Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha. Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine. Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu! Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
  13. JamiiForums Tanzania Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

    Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya Kuhamia katika Nishati Safi ya Kupikia Kuzinduliwa Mwezi Juni 2023

    DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  18. JamiiForums Tanzania Kila la kheri Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)

    Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yatoa wachezaji 13 timu za Taifa Afrika

    Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa tafsiri ya haraka ndio timu bora kwa sasa ktk ligi yetu na inaakisi kile ambacho kinaonekana viwanjani.
  20. JamiiForums Tanzania Siasa safi itatokana na uzalendo wa kitaifa wa wanachama na siyo matakwa ya wenye Chama

    Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari. Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna kile walichokimis ambacho kimsingi kwa sasa wanapaswa kukitarajia. Hii hali ni hatari katika siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…