taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bernard Kamilius Membe niliyemfahamu, Taifa limepoteza mtu!

    Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima. Historia ya Membe inaanzia...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

    Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya? Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe. Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi. Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

    Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi. Mungu uliopo Mbinguni wapo watu wamelifia hili Taifa wapo watu ndio sababu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi?

    Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi? Naombeni nondo
  5. JamiiForums Tanzania Siasa za chuki kwa Lissu kuwa Hai hazilisaidii Taifa

    Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuua kufanyika. Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  7. JamiiForums Tanzania Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

    Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja na mradi mkubwa wa kujenga mji mpya kabisa kutoka ardhini yaani "from scratch". Mji huo utatiwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  10. JamiiForums Tanzania "Vijana taifa la kesho" ilivyoharibu akili za vijana..

    Habari zenu.. Ule msemo wa vijana taifa la kesho ulivyopelekea taifa kuwa na umasikini wa kutupwa.. Ebu fikiria ndugu yangu asilia kubwa ya watu hapa tanzania ni vijana,kwanzia miaka 15-45 then taifa linasema vijana ni taifa la kesho daah tulikuwa na viongozi wa ovyo sana. Huwa najiulizaga...
  11. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

    Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dondosha ''MBONA'' yako nyingine hapa mdau👇😂😂

    (1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake wanashangilia timu pinzani😂 (5) Mbona kocha haingii kusaidia team yake na yeye ndo anajua kuliko wao😂
  13. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

    Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya...
  16. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, leo hii Taifa letu limefika pabaya. Waliopewa madaraka kulinda na kutetea rasilimali za umma ndio wanatuibia na kuteteana

    Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma. Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  19. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  20. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…