Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote.
namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE
Natanguliza shukrani.
Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana.
Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee.
Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu.
Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja...
Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa.
Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza.
Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke
Asubuhi nafunga mlango wa...
kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali.
Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased.
Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya...
Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo
Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote.
Alionae tangazo hili amtaarifu na...
Za mchana
Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme.
Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye...
Kwanza kabisa natoa pole za dhati kwa ndugu zetu wote walioondokewa na wapendwa wao, sote njia yetu ni moja. Tulitoka kwake na kwake tutarudi
Naomba kuwatahadharisha na hawa watu, roho yangu inaniambia sio watu salama
Mange kimambi amekuwa mstari wa mbele sana kuibua uozo wa serikali ikiwemo...
Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe.
Ujumbe wa maandamano hayo...
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA
Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa...
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.
Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
Habari wana JF.
Siku imekucha na makucha yake.
Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.
Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
Salaam!
Hizi ni sababu za kwanini utoke kwa tahadhari.
1. Muriro na Mafwele ndio wanaotoa kibali Cha maandamano kama walinda waandamanaji, na wamegoma kulinda waandamanaji.
2. Muriro na IGP na Mafwele ni watuhumiwa wa utekaji ambao waandamanaji wanaupigia kelele.
3. Wanaotoka kutiki na...
Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu:
msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi.
Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu.
Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa...
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,
Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.