tafuta hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VERBOSE

    Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

    Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu. Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
  2. Saad30

    Tafuta Hela kwajili ya familia yako lakini usijisahau wewe mwenyewe

    Habari wakuu. Dunia tunapita kila kitu kitabakia Binadamu ni mchanga. Tafuta kwajili ya watoto wako na (mke) lakini kumbuka wewe Kwanza maana wewe ndio mtengeneza njia kwahiyo usipofurahia jasho lako basi utakuwa unazingua. Wanaume tunatafuta pesa ili kuona furaha ya watoto wetu lakini vipi...
  3. Mshana Jr

    Tafuta hela

    Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60. Tafuta hela V8 Sio gari za selikari. Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe. Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba. Tafuta hela weekend sio siku ya kufua. Tafuta hela kuku ana vipande viwili tu. Tafuta hela uache...
  4. Madwari Madwari

    Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

  5. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  6. Right Marker

    Tafuta hela, aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa na Bae wake jioni hii

    Tafuta hela; aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa kwa gari na Bae wake jioni hii, muda huu anaelekea bafuni kuoga. Tafuta hela; aliyekwambia kuwa huu ni mwezi wa mfungo usimtafute, ametumiwa hela ya nauli hivyo yupo kujiandaa ili akapande Bolt. Tafuta hela; aliyekwambia usimguse mpaka...
  7. Knock life

    Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  8. mdukuzi

    Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

    Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela. Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe. Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe...
  9. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  10. Stuxnet

    Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

    Kwa sasa huwa naangalia Star TV vipindi 2 tu; Medani za Siasa na BBC ambacho Star TV wanakipitisha tu kwenye kituo chao. Star TV kwisha kabisa haina vipindi vyenye mvuto zaidi ya Medani za Siasa cha Edwin Odemba aka Chief Odemba Huyu nguli wa maswali ambayo ni multi task, multi discipline ni...
  11. Tyrone Kaijage

    Tumwambiaje Lamine Yamal mbadala wa Tafuta hela?

    Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
  12. G

    Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

    Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe? Hela na afya vyote anavyo lkn...
  13. M

    Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa. Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana. Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...
  14. Kiplayer

    Tafuta hela ni msemo usioendana na wanaoutumia

    Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
  15. BOB LUSE

    Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
  16. M

    Nandy tafuta hela uanzishe media station

    Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana. Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media. Nimeshauri...
  17. Nyafwili

    Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa. • Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au...
  18. mdukuzi

    Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  19. Kipenzi Changu

    Tafuta hela, scrub sio udada!

    Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi. Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha! Tafuta hela, ukipata hutaona kama scrub ni udada. Weekend njema...
  20. Fortilo

    Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
Back
Top Bottom