Ndugu zangu,kama unajua kitu toa msaada wa kielimu kwa anayeomba msaada.Kukaa kimya kwako mwenzakl anapata hasara kubwa sana wakati ungemuelimisha angesaidika na Mungu wa mbinguni angekubariki.
Nina Suzuki Swift 2008,engine yake ni K12B,gearbox yake ni cvt, haina dip stick.
Sasa mara ya kwanza...