tabianchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Africa Climate Summit 2023: Afrika hupoteza 5%-15% ya pato la ndani kila Mwaka kutokana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi

    Rais wa Kenya William Ruto amesema Mabadiliko ya Tabianchi yanatafuna maendeleo ya kiuchumi ya Afrika na ni wakati wa kuwa na mazungumzo ya kimataifa kuhusu kodi itakayotozwa wachafuzi wa mazingira. Kwa mujibu wa rais Ruto, bara linalokua kwa kasi la Afrika lenye wakazi bilioni 1.3 linapoteza...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya uhuru, Je Mabadiliko ya tabianchi bado ni kichaka cha huduma mbovu za maji nchini?

    Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti. Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter. Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES Baadhi ya hoja...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa hewa chafu wa jeshi la Marekani wachangia mabadiliko ya tabianchi duniani

    Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto zinaozidi kuongezeka za mabadiliko ya tabianchi duniani. Nje ya mkutano huo, utoaji wa hewa chafu wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
  7. L

    JamiiForums Tanzania AfDB yapanga kukusanya dola bilioni 25 za kimarekani kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya dola bilioni 25 za kimarekani kabla ya mwaka wa 2025 kwa ajili ya kuunga mkono nchi za Afrika kwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake waathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi

    Kila ifikapo tarehe 8 Machi dunia inaadhimisha siku ya wanawake, yakiangaliwa mafanikio na juhudi za wanawake katika upande wa kihistoria, kiutamaduni na kisiasa. Siku hii pia inaangazia na kuunga mkono hatua zinazochukuliwa dhidi ya ukosefu wa usawa wa kijinsia duniani kote. Sote tunajua kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya TabiaNchi yanaathiri zaidi Wanawake sababu ya kukosekana Usawa wa Kijinsia

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2022), inaelezwa kuwa Wanawake na Wasichana wanakumbana na athari kubwa zaidi za Mabadiliko ya TabiaNchi, kwani yanazidisha ukosefu wa UsawaWaKijinsia Umoja wa Mataifa (UN) unasema Ulimwenguni kote Wanawake wanategemea zaidi Maliasili, ilihali wana...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 13 wakabiliwa na njaa Kenya, Somalia na Ethiopia

    Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, athari zake, na wajibu wa Serikali, Sekta Binafsi, Asasi za Kiraia na kila Mwananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Novemba 27, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, athari zake, na wajibu wa Serikali, Sekta Binafsi, Asasi za Kiraia na kila Mwananchi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania itakavyofaidika na mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka tarehe 12 Novemba 2021. kujadili athari...
  15. JamiiForums Tanzania Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
  16. JamiiForums Tanzania COP 26: Mataifa zaidi ya 100 yaahidi kukomesha ukataji miti ifikapo 2030

    Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabianchi Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ambaye ni Mwenyeji wa Mkutano ametaja Makubaliano...
  17. JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania UN: COVID-19 haikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi

    Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya kaboni katika sekta ya viwanda ulibaki katika kiwango kile kile cha mwaka 2019. Kitengo cha hali ya hewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…