Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, athari zake, na wajibu wa Serikali, Sekta Binafsi, Asasi za Kiraia na kila Mwananchi

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Zoom Saturday

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Novemba 27, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.

Mada: Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, athari zake, na wajibu wa Serikali, Sekta Binafsi, Asasi za Kiraia na kila Mwananchi katika kukabiliana nazo.

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa ~ Join our Cloud HD Video Meeting

Au kupitia
Meeting ID: 810 5796 5155
Passcode: 095322

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV na Saangapi TV, Daily News Digital, Saangapi TV, ITV, Azam TV na Star TV

Uhifadhi wa Mazingira ni wajibu wetu sote. Karibu tujadili. Usikose!


ZOOM.jpeg
 
Back
Top Bottom