Wakuu,
Hebu njooni hapa tukumbushane tabia ambazo Watanzania tu tunazo, yaani huzikuti Ulaya wala Marekani, ni hapa Afrika tu
Mimi nina hizi hapa za kwangu wakuu
Umeme ukikata ni LAZIMA utoke nje ili ujue majirani kwao kama upo au haupo
Ukishakula chakula kwa jirani, lazima uzuge uzuge...