taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
  2. B

    Kupambana na rushwa ni kuondoa nenda rudi ya taasisi za Umma

    Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
  3. Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

    TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
  4. Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  5. D

    Mashirika na taasisi mmejipangaje na tahadhari ya kimbunga ili kuondoa usumbufu na hatari kwa wateja wenu?

    Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam; Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake! Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
  6. B

    Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  7. UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  8. J

    Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  9. J

    Viongozi wa Serikali wapikwe na Taasisi ya Uongozi - Waziri Mchengerwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika mafunzo yanayoandaliwa na kutolewa na Taasisi ya UONGOZI. Waziri Mchengerwa aliyasema hayo wakati wa...
  10. J

    Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

    CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
  11. Mrejesho kuhusu Bima ya mtoto wa mtumishi kutibiwa Taasisi Moyo Jakaya

    Habari wana JF Baada ya kupata rufaa ya JAKAYA kutoka Bugando nilifika Jakaya na kuendelea na vipimo pamoja na matibabu. Vipimo vimeonesha anatakiwa kufanyiwa operation na Bima inacover gharama zote, changamoto umeonekana kuwa tatizo limechelewa kugundulika hivyo kwa operation hii ingefanywa...
  12. Jipatie Katiba, Kanuni na nyaraka muhimu za Taasisi yako

    Hello jf Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya) Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana...
  13. TRA ishirikianae na Taasisi za Serekali kutanua wigo wa kodi

    Maoni tu, Kuna Basata mpaka leo hawana music streaming app ambayo watu wanaweza upload content na kuuza na wao kupata kodi. Eg one record ikiuzwa for 100 Tsh which is reasonable, kwa watu 1m ni 100m in revenues. Kuna wasanii zaidi ya mia TZ. Bado na taasisi nyengine, tuchangie kwa wote colabo...
  14. J

    Kama CAG amewaonea Clouds Media atashindwaje kuzionea taasisi nyingine kama ATCL n.k?

    Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii. Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema...
  15. Kila mradi wa ujenzi wa Serikali kuwe na separation of duties usifanywe na taasisi moja, ni rahisi kuibiwa na kuwa na jengo substandard

    Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha Contactor ni NHC Architect ni NHC Quantity Surveyor ni NHC Subcontractor ni NHC Hakuna segregation of duties Inatakiwa mfano Architect awe mwingine siyo NHC aweza kuwa Private sector au quantity surveyor akawa Private sector na subcontractor...
  16. Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

    Heri kwenu wadau. Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine. Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia...
  17. M

    Stiegler Dam, Taasisi za Kimataifa Vs. Magufuli

    JOHANNESBURG – The United Nations has called it one of Africa's biggest remaining wilderness areas. Now a dispute over a planned hydropower dam in Tanzania's Selous wildlife reserve pits the country's president against conservationists who say the project could cause irreparable damage to the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…